Bungeni: Joseph Musukuma asema ana majina ya wabunge wa upinzani waliohongwa kuitetea ACACIA

naunga mkono hoja,chadema walisaini miktaba ya kipuuzi sana na wameiweka nchi yetu pabaya sana sasa wanatokea wabunge wazalendo,wapambanaji wenye IQ kubwa kama kasjeku msukuma wanapambana ili tufaidike na rasilimali zetu zilizouzwa na chadema halafu akili ndogo kama za lissu na mnyika zinabisha
Hivi nadhani unachokimaanisha hukijui kwani mikataba aliyesaini chadema au ccm? chadema wana waziri wa nishati ushabiki uso namaana hautakiwi
 
Back
Top Bottom