Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,074 May 13, 2017 #21 MPadmire said: Watalii masikini Click to expand... Noted mkuu
M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,945 3,237 May 13, 2017 Thread starter #22 Ooh, TRA wameongeza makusanyo Mara hatutaki watalii masikini And a lot of sound music band Economy is dwindling na ndio maana wanatumbua pesa za mifuko ya Jamii Na FAO La Kujitoa wamefuta
Ooh, TRA wameongeza makusanyo Mara hatutaki watalii masikini And a lot of sound music band Economy is dwindling na ndio maana wanatumbua pesa za mifuko ya Jamii Na FAO La Kujitoa wamefuta
M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,945 3,237 May 17, 2017 Thread starter #23 Mchango wa Mh. Serukamba mzuri sana Tourism - No strategy Ongezeko kdg tu, watu wanatoa povu kusifia Wakati Ethiopia na South Africa wana mapato mengi sana ya utalii na watangaza Sana Maonyesho ya Indaba Rais Zuma alifungua na ameenda mara 2 tayari Karibu Travel Fair ---Rais hajakanyaga hata mara moja... Ni Wakati Rais aende karibu Fair sasa
Mchango wa Mh. Serukamba mzuri sana Tourism - No strategy Ongezeko kdg tu, watu wanatoa povu kusifia Wakati Ethiopia na South Africa wana mapato mengi sana ya utalii na watangaza Sana Maonyesho ya Indaba Rais Zuma alifungua na ameenda mara 2 tayari Karibu Travel Fair ---Rais hajakanyaga hata mara moja... Ni Wakati Rais aende karibu Fair sasa