Unamtisha nani na kiingereza cha chekechea? Katafute wa kutisha chizi wewe!The problem of closed minded idiots... Hey can you excuse me and stop quoting me?? Do that favor please, i don't argue with imbecile..
Tunamsubiri "Mama yake"...naye aongee..kauli hizi zinaleta faraja kuona hadi Ridhiwani ameongea.
Id yako inakutambilisha umchovu paka akiliMtampiga sana vita Magufuri lkn mtashindwa kwa Jina LA Yesu !
Angalia wote wanaoshadadia hizi hoja ni. Kambi gani , wengine Bado ni watumishi wa bwana mamvi
Tuazimane basi
Hakuna kipindi namkumbuka Rev. Mtikila kama kipindi hiki.
press conference tu kila sikuTunamsubiri "Mama yake"...naye aongee..
Sio walimpa uenyekiti wa chama ngoja awasomeshe nambaKAULI ZA WABUNGE WA CCM BUNGENI LEO 11/04/2017
Hivi Waziri wa Habari alikwenda kufanya nini katika Press ya Roma, mkiambiwa mlimteka mtakataa? Bora kusema ukweli kuliko kukaa kimya, najua mtasema kwa kuwa nilikosa uwaziri No! - Juma Nkamia (CCM)
Mimi nimekamatwa na kuteswa na Usalama wa Taifa. Nimenyanyaswa sana nchi hii. Ikibidi mnifukuze CCM (machozi) - Hussein Bashe (CCM)
Hakuna sababu ya Mwigulu kuendelea kukaa kimya wakati wananchi wanaishi kwa wasiwasi juu ya usalama wao. Kutoa kauli kunasaidia kutoa hofu. - Ridhiwani Kikwete (CCM)
Mimi ni miongoni mwa wabunge niliotishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar, na mpaka sasa mimi sikanyagi Dar licha ya kuimisi sana - Hillary Aeshi (CCM)
Jamani ifike hatua sasa Rais Magufuli ajitafakali upya. CCM imepasuka vipande na serikali yake kwa ujumla imepasuka vipande. Serikali imekosa umoja wa kitaifa kila siku ni new series.
Hakuna anayekumbuka kukuza uchumi sasa kila mtu anawaza ni muda gani atauwawa
Leo sioni comments za cocochanel? Hili dude 'cocochanel' ni lidubwasha gani humu JF na nje ya JF? Lilikuwa linaletaga comments za ajabu na za kuudhi lakini ghafla kimyaaaa baada ya wabunge wa ccm kureact? Nchi hii kuna watu wachache wanaichezea kwa maslahi yao. Wabunge unganeni kusaidia taifa letu.
Kafanye editing ufiche upunguani wako.
Anaeisoma namba Mbowe.
wewe umeonekana ni bashite wa humuOMG
Je ulinichukulia na kunijazia fomu ya kujiunga na chama nchini!?
Achana nae kiroboto huyoOMG
Je ulinichukulia na kunijazia fomu ya kujiunga na chama nchini!?
Bibi kigagula@work .comUnanchekesha =Unanichekesha
Hivi huko Shule mlienda kusomea ujinga
Ajuza katika ubora wakeBibi kigagula@work .com
Achana nae kiroboto huyo