Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 18,664
- 47,068
- Thread starter
- #21
Tanzania sio ya Vibaraka wa mabeberu, na masaliti kama ilivyo CHADEMA
Uovu, ufisadi na uchafu wote nchi hii umesababishwa na CCM, siyo CHADEMA, siyo CUF, siyo ACT au chama kingine chochote.
Lazima uwe mwendawazimu hasa, kuweza kuvituhumu vyama vingine vyovyote zaidi ya CCM kwa uovu wowote wa watawala nchi hii. Tangu uhuru mpaka leo ni CCM ndiyo inayoendelea kuwatesa wanancho. Na CCM ndiyo kizingiti kikubwa cha kupata kitaba mpya ya kuwadhibiti mafedhuli, kwa sababu mafedhuli wote wapo ndani ya chama chao.