Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,396
Wanafikiria Bunge ni Tawi la CCM. Hajui wakati wa JKN japo kulikuwa Chama kimoja lakini Bunge lilikuwa huru kabisa.Leo vyama vingi wabunge wa chama cha JKN wanaahindwa kutumia wingi wao kulifanya Bunge kuwa huru Kwa 100%.Wako busy wakisubiria uwaziri ndiyo sababu hata ujinga wanaukubaliWakati sahihi ni wakati gani zaidi ya pale panapojitokeza utata? Kwa akili yako wewe, unawezaje kujua kwamba leo katika bunge kutakuwa na tata kadhaa za namna hii ili ziombewe mwongozo mapema?
Kwanza ukubali kwamba ukiwa ccm lazima uwe huna ufahamu, sawa na report ya Twaweza.
Kwa ufahamu wako, unadhani watu wote hawaelewi madhara ya kanuni na vifungu vinavyoombewa miongozo hadi waeleweshwe madhara yake na msemaji? Au unadhani kanuni na taratibu zilzowekwa hazikuwa na maana kiasi cha wewe kudhani kuna zingine hata zikiharibiwa hazina madhara?
Hivi wewe mama unaelewa chochote kinachofanyika bungeni wewe? Kwa akili zako, ni yupi anatoa na yupi anaaomba mwongozo kati ya wabunge na viongozi wa bunge?
Kweli ccm kichefuchefu!.
Kaa na wale vijana wenzako ambao unawaita wajukuu zako kabla hujakurupuka kuanika uwazi wa kichwa chako mtandaoni ili wakusaidie kuelewa unachotaka kukisema.
Pole jirani.