Bunge latoa Ufafanuzi Ester Bulaya Kukamatwa na Polisi Kutoka Mwanza hadi Dar

huyu spika daah hachelewi kutwangana bakora huyu ! mimi namuogopa saana wale makatibu wakikosea siku moja watakula bakora za kichwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha sasa sijui mirungi au nn?
 
Mkuu, wewe umeandika kama great thinker na bila kujali IQ yako iko kiasi gani ni wazi unaqualify kuitwa gt. Tatizo kubwa tulilo nalo ni akili ndogo kutawala akili kubwa ambapo kati ya watu 1,000 wanaoongelea kubana matumizi huenda ni wawili tu wanaoelewa maana yake!
 
NASISITIZA KUWA NI ULIMBUKENI KUMKAMATA MTU KWA HOJA YA KUMFIKISHA KWENYE KAMATI YA MBDILI. SUALA LA MAADILI NI SUALA LA MADAI. USHAURI NI ULEULE: JOB NDUGAI KUNYWA JUICEYA LIMAO ULEVI NA ULIMBUKENI WA MADARAKA UISHE.
mtaalamu wa kuchapa viboko wanaompinga
 
M
Maadhimio---Maazimio
 
Hizi sheria zitumike vizuri kuwatia adabu wabunge wajinga kama hawa akina bulaya ili heshima ya bunge irejee.

Chenge alipogoma kwenda kwenye tume ya maadili kujadili tuhuma za rushwa aligoma kwenda,je mlimpelekea polisi wenye silaha wamkamate??

Tumia akili kidogo basi.Issue ya kina Bulaya ni ndogo sana na imesababishwa na Spika mwenyewe.Sasa anashindwa kujihukumu anatupia kwa wapinzani.Ifike mahali hawa viongozi wa Bunge wawe kweli na nia ya kuliongoza bunge bila upendeleo,ni shida kuona unapotaka kura unaongea nyimbo zote lakini ndani na lengo kuu ni kwend akukomoa wapinzani.Ni aibu sana.

Ndugai ameact so low.
 
Mimi sishangazwi na vitendo vya ndugai kwa wabunge wa upinzani, wakati wa uchaguzi wa ndani wa ccm alikuwa anawachapa wenzake bakora

Nimecheka sana hapo kuwachapa wenzie bakora, Na hakuchukuliwa hatua yeyote zaidi sana kapewa uspika
 
Mkuu, binafsi bado sijaona kama serikali ya Magufuli ina dhamira ya ukweli ya kubana matumizi. Bado tunaona magari ya serikali yanatumiwa kwa kazi binafsi tena hadi weekend, cost hiyo. Taasisi zake nyingi zinafanya kazi kwa utaratibu ule ule wa spending spending spending....

Ingawa nitampongeza kwa kukusanya mapato baada ya indepent verification ya kile tunachotajiwa.

You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the time
 
Yaani mpaka Lema anatii amri alafu Easter anajitia kichwa ngumu.
 
Nani alilipa nauli ya ndege kumpeleke Dar pamoja na walinzi? Nani alilipa gharama ya kuwarudisha Mwanza? Hii Kali saana
Wakati wa kuja Dar walipanda Saibaba.....kurudi Mwanza walipanda Simba luwala kwa hisani ya Supreme Leader.
 
We naye, uking'ang'ani kitu basi hubadiliki kama vile nyumbu, akilenga hata mti akiwa speed hakati hata kona. Una nongwa sana like a nagging wife.
 
Tiba pekee ni chadema kuwafungulia mashitaka wale wote walioshiriki kumkamata ili iwe fundisho .
 
Hizi sheria zitumike vizuri kuwatia adabu wabunge wajinga kama hawa akina bulaya ili heshima ya bunge irejee.
mbona sipika alimpiga mtu na fumbo kichwani mpaka akazimia hakukamatwa ? Hizo sheria mbovu za Udikteta hazitumiki Kwa ccm .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…