kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,172
huyu spika daah hachelewi kutwangana bakora huyu ! mimi namuogopa saana wale makatibu wakikosea siku moja watakula bakora za kichwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha sasa sijui mirungi au nn?
Mkuu, wewe umeandika kama great thinker na bila kujali IQ yako iko kiasi gani ni wazi unaqualify kuitwa gt. Tatizo kubwa tulilo nalo ni akili ndogo kutawala akili kubwa ambapo kati ya watu 1,000 wanaoongelea kubana matumizi huenda ni wawili tu wanaoelewa maana yake!Chenge alikataa kuhojiwa na tume ya maadili kuhusu suala la wizi wa Escrow hakuwahi kutumiwa hata Sungusungu. Esther Bulaya ni mbunge ambaye piga ua angerudi tu bungeni na kuhojiwa, kulikuwa na haja gani kutumia mamilioni ya shilingi kumkamata, kumsafirisha kwa ndege chini ya ulinzi mkali, kumsafirisha kwa msafara hadi ofisi za bunge wakati hizo fedha zingeweza kuokoa maisha wa akina mama wanaolala wanne wakati wanajifungua pale hospitali ya Bunda. Je falsafa ya kubana matumizi ya serikali ya awamu ya tano ni kwa ajili ya kupenda sifa tu kwa maeneo ambayo wananchi watampigia makofi Magufuli lakini sio falsafa ya kitaifa. Tuna safari ndefu sana na hii serikali ya kufanya kazi kwa MZUKA
mtaalamu wa kuchapa viboko wanaompingaNASISITIZA KUWA NI ULIMBUKENI KUMKAMATA MTU KWA HOJA YA KUMFIKISHA KWENYE KAMATI YA MBDILI. SUALA LA MAADILI NI SUALA LA MADAI. USHAURI NI ULEULE: JOB NDUGAI KUNYWA JUICEYA LIMAO ULEVI NA ULIMBUKENI WA MADARAKA UISHE.
Maadhimio---MaazimioMaadhimio ya bunge kuhusu ESCROW yalikuwa na maslahi mapana kwa nchi hayajatekelezwa. hili la bulaya halikuwa na maslahi yeyote kwa wananchi.. sana sana ni matumizi mabaya ya fedha za serikali. Kwani mngemsubiri huko bungeni si angekuja tuu april..
Hizi sheria zitumike vizuri kuwatia adabu wabunge wajinga kama hawa akina bulaya ili heshima ya bunge irejee.
Mimi sishangazwi na vitendo vya ndugai kwa wabunge wa upinzani, wakati wa uchaguzi wa ndani wa ccm alikuwa anawachapa wenzake bakora
Mkuu, binafsi bado sijaona kama serikali ya Magufuli ina dhamira ya ukweli ya kubana matumizi. Bado tunaona magari ya serikali yanatumiwa kwa kazi binafsi tena hadi weekend, cost hiyo. Taasisi zake nyingi zinafanya kazi kwa utaratibu ule ule wa spending spending spending....Mkuu, wewe umeandika kama great thinker na bila kujali IQ yako iko kiasi gani ni wazi unaqualify kuitwa gt. Tatizo kubwa tulilo nalo ni akili ndogo kutawala akili kubwa ambapo kati ya watu 1,000 wanaoongelea kubana matumizi huenda ni wawili tu wanaoelewa maana yake!
......Shuwa! Eksi...Kroooooo! Twanze na Muongo Pro...Sosi Pitia Miamba....Tusubiri ambao wameshindwa kutekeleza maagizo ya bunge kuhusu ESCROW watachukuliwa hatua gani
Wakati wa kuja Dar walipanda Saibaba.....kurudi Mwanza walipanda Simba luwala kwa hisani ya Supreme Leader.Nani alilipa nauli ya ndege kumpeleke Dar pamoja na walinzi? Nani alilipa gharama ya kuwarudisha Mwanza? Hii Kali saana
We naye, uking'ang'ani kitu basi hubadiliki kama vile nyumbu, akilenga hata mti akiwa speed hakati hata kona. Una nongwa sana like a nagging wife.Maadhimio ya bunge kuhusu ESCROW yalikuwa na maslahi mapana kwa nchi hayajatekelezwa. hili la bulaya halikuwa na maslahi yeyote kwa wananchi.. sana sana ni matumizi mabaya ya fedha za serikali. Kwani mngemsubiri huko bungeni si angekuja tuu april..
Tiba pekee ni chadema kuwafungulia mashitaka wale wote walioshiriki kumkamata ili iwe fundisho .Chenge alikataa kuhojiwa na tume ya maadili kuhusu suala la wizi wa Escrow hakuwahi kutumiwa hata Sungusungu. Esther Bulaya ni mbunge ambaye piga ua angerudi tu bungeni na kuhojiwa, kulikuwa na haja gani kutumia mamilioni ya shilingi kumkamata, kumsafirisha kwa ndege chini ya ulinzi mkali, kumsafirisha kwa msafara hadi ofisi za bunge wakati hizo fedha zingeweza kuokoa maisha wa akina mama wanaolala wanne wakati wanajifungua pale hospitali ya Bunda. Je falsafa ya kubana matumizi ya serikali ya awamu ya tano ni kwa ajili ya kupenda sifa tu kwa maeneo ambayo wananchi watampigia makofi Magufuli lakini sio falsafa ya kitaifa. Tuna safari ndefu sana na hii serikali ya kufanya kazi kwa MZUKA
mbona sipika alimpiga mtu na fumbo kichwani mpaka akazimia hakukamatwa ? Hizo sheria mbovu za Udikteta hazitumiki Kwa ccm .Hizi sheria zitumike vizuri kuwatia adabu wabunge wajinga kama hawa akina bulaya ili heshima ya bunge irejee.