Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

Rais ataingilia kati!Hapo ndipo watakapojua ubaya wa Magufuli.Polisi hawako juu ya sheria.
Raisi
kWELI HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA LAKINI MAGU SASA ATAKUWA NA MTIHANI KIDOGO KWANI ANAWAHITAJI POLISI WA SASA. MUNGU WANGU MUNGU WANGU HII NCHI HIVI HAYA MAMBO YANAYOFANYIKA TANZANIA NA NCHI ZINGINE ZA EAST AFRICA YANAFANYIKA KAMA KENYA, UGANDA, NA BURUNDI. HIVI KWELI HII NCHI IKO MESSED UP NAMNA HII.
 
Mbuyu huanza kama mchicha. Kwa mtangulizi wako,Mzee Jakaya Kikwete,kashfa moja ilianzisha nyingine. Ukawepo msururu wa kashfa. Kuanzia EPA, Richmond hadi Escrow.

Kwako,kashfa ya Lugumi imekubeep. Kashfa nyingine zitakupigia. Tuma ujumbe kupitia Lugumi. Wa kuogofya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
mjombaaaaaaa.... ujumbe umegusa mfupa mkuu. duh!!!! NGOJA TUONE HII KALI KUPITA MAJIPU UCHUNGU
 
Mbuyu huanza kama mchicha. Kwa mtangulizi wako,Mzee Jakaya Kikwete,kashfa moja ilianzisha nyingine. Ukawepo msururu wa kashfa. Kuanzia EPA, Richmond hadi Escrow.

Kwako,kashfa ya Lugumi imekubeep. Kashfa nyingine zitakupigia. Tuma ujumbe kupitia Lugumi. Wa kuogofya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mkuu umenena vema sana...inabidi mkulu atume ujumbe mzito kwa Lilugumi la sivo atakuwa amefungulia mlango wa kashfa...na hataweza kamwe kushughulikia nyingine yoyote itakayojitokeza kwani ataambiwa...mbona ile ulikaa kimya....inabidi mkulu hapa afumbe macho hata kama ataitiwa kikao cha familia awaambie wanafamilia....Tanzania kwanza mtu baadae...
 
Jana nimemsikia makamu mwenyekiti wa PAC, akiongeza siku sita baada ya zile tatu kupita pasi na jeshi la polisi kutii maagizo ya kamati ya bunge ya kuukabidhi mkataba tata waliouingia na LUGUMI ENTER...., je hizo siku zikipita na hawakupeleka huo mkataba nini kitafuatia , polisi atamkamata polisi......?
Watapewa mkataba feki uliochakachuliwa na kuitoa ile kampuni ya Said mwema na Charles kitwanga , mda huu wabunge baadhi watakuwa wameshapewa Rushwa kinachokuja kufanyika kitaeashangaza wengi .
 
kWELI HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA LAKINI MAGU SASA ATAKUWA NA MTIHANI KIDOGO KWANI ANAWAHITAJI POLISI WA SASA. MUNGU WANGU MUNGU WANGU HII NCHI HIVI HAYA MAMBO YANAYOFANYIKA TANZANIA NA NCHI ZINGINE ZA EAST AFRICA YANAFANYIKA KAMA KENYA, UGANDA, NA BURUNDI. HIVI KWELI HII NCHI IKO MESSED UP NAMNA HII.
Mkuu mechi imechezwa nje ya uwanja matokeo ni 3 bila Yaani wabunge watafungwa 3-0 kuna maujanja yanafanyika kuwalinda Charles kitwanga na wenzake ni style ile ile iliyotumika kumlinda Mwakyembe na Makamba juu ya Majipu Yao.
 
mkataba sio ishu...kwani ninyi mnadhani una nini cha ajabu?

unadhani umemtaja mwana mfamle huo? hapanaaaaa......mkataba ni mkataba tu...ila ngoma zinapigwa kichinichini.....
 
Rais ataingilia kati!Hapo ndipo watakapojua ubaya wa Magufuli.Polisi hawako juu ya sheria.
Raisi
Mkuu hili linamhusu rafiki yake mkubwa Charles kitwanga hatathubutu kuliingilia , sana sana atamlinda Kama alivyomlinda Mwakyembe na January Makamba .
 
Watapewa mkataba feki uliochakachuliwa na kuitoa ile kampuni ya Said mwema na Charles kitwanga , mda huu wabunge baadhi watakuwa wameshapewa Rushwa kinachokuja kufanyika kitaeashangaza wengi .

kwani unadhani hata ukiwa wenyewe halisi ...unadhani utakuwa na kipi cha ajabu? unadhani mkataba utamtaja mwana mfalme? hell nooooo
 
Kitwanga tumbo linamuuma akisikia hii issue lazima mwaka huu wanyooke
kiwanga hana kosa lolote pale wewe...alikuwa subcontracted na kampuni ya marekani ambayo ndio walipewa kazi na Lugumi

Na Kampuni ya kitwanga ilifanya kazi yake
 
mkataba sio ishu...kwani ninyi mnadhani una nini cha ajabu?

unadhani umemtaja mwana mfamle huo? hapanaaaaa......mkataba ni mkataba tu...ila ngoma zinapigwa kichinichini.....
Ni kweli huu mda ambao wanachelewesha ndiyo wanautumia kuchakachua kila kitu kisha wabunge watakuja na jawabu la kushangaza Dunia .
 
Ni kweli huu mda ambao wanachelewesha ndiyo wanautumia kuchakachua kila kitu kisha wabunge watakuja na jawabu la kushangaza Dunia .
hauchakachuliwi hata kidogo

kwani unadhani hata mkataba original utakuwa na kitu gani ca ajabu....hell no....watanzania mikatataba hua imenyoooka sana....ishu ni kuwa humo humo watu wanapiga
 
Nyie wenzetu hamsomi magazeti? Mnajadili kwa hisia?
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Balozi Adadi Rajabu, alithibitisha mkataba huo kuwasilishwa mbele ya kamati yake.

“Mimi kama mwenyekiti wa kamati ninapenda kukiri kwamba tumepokea mkataba kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi na tutaufanyia kazi kwa kina.

“Tunahitaji kuona kama kuna wizara zilizohusika na mkataba huu na kama tutaukuta ni mbaya, tutatoa taarifa kwa umma. Kikubwa tunawaomba Watanzania wawe watulivu, hatuko kwa ajili ya kumlinda mtu wala kikundi cha watu, tunasimamia masilahi ya Watanzania wote,” alisema Balozi Adadi.
 
Back
Top Bottom