Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Ndugu yangu, nchi hii imekaa kisiasa tu. kikitamkwa kinachofurahisha upande husika basi kinasifiwa, ila kinachopinga basi kitashushuliwa ile mbaya. Hapo Askofu angepongeza hatua ya uongozi wa bunge kuweka nidhamu ya vikao kwa kutumia hadi mbwa, kuyo msemaji wa bunge angemshukuru sana na kumwita mfano wa kuigwa wa viongozi wa dini.Heee kwani bakwata walipounga mkono kurudia uchaguzi wa Zanzibar hawakua wanaingilia muhimili wa serikali ???
Askari wakingia pahali ujue uongozi umeshindwa kazi.Askari wetu wanaingia popote pale ndani ya TanZania pindi watakiwapo kufanya hivyo!
Hamida katika ubora wako. Mwisho wa kufikiri huo!Huyo askofu ni Nyumbu tu. Yeye aendelee kutetea ndoa za jinsia moja....aachane na siasa.
Kajifunze kuandika ndio urudi kuleta pumba zako JF.Kitendo cha kuingiza askari polisi na mbwa bungeni sio cha halali kwa watunga sheria waliotumwa na wapiga kura. Ni aibu na kudhalalisha sana.
Anayekiunga mkono kitendo hicho hana akili timau.
aliwahi kutetea au unaropoka tu?Huyo askofu ni Nyumbu tu. Yeye aendelee kutetea ndoa za jinsia moja....aachane na siasa.
Hahaha inabidi tu nicheke walahi wale jamaa waliotoa tafsiri ya neno SIASA inabidi wakae tena chini waje na tafsiri nyingine hii ya sasa haifaiNdugu yangu, nchi hii imekaa kisiasa tu. kikitamkwa kinachofurahisha upande husika basi kinasifiwa, ila kinachopinga basi kitashushuliwa ile mbaya. Hapo Askofu angepongeza hatua ya uongozi wa bunge kuweka nidhamu ya vikao kwa kutumia hadi mbwa, kuyo msemaji wa bunge angemshukuru sana na kumwita mfano wa kuigwa wa viongozi wa dini.
Kama tunasema viongozi wa dini hawatakiwi kuingilia siasa, inatakiwa wakae kimya..wasishutumu wala wasipongeze. Wasichochee migogoro wala kusuluhisha migogoro. Sasa sijui kama itawezekana!
Ila kilichopo sasa, kiongozi anayeingilia siasa kwa kutetea serikali na chama chake, huyo hadaiwi kuingilia siasa, ila anapigiwa chapua kuwa kiongozi anayefaa maana anawaelekeza waumini wake 'njia sahihi'.
This country bwanaa!! Is vere puaaa!
Wewe itakua ulikatiwa shanga nyingi ndio maana povu linakutokauongozi wa bunge na ukondoo wa kipumbavu.
mbona hawajaainisha hiyo kanuni inayoruhusu polisi kuingia bungeni na bunduki na mbwa kushambuulia na kuwaibia wabunge??
hizi ndiyo akili za wala viwavi.Wewe itakua ulikatiwa shanga nyingi ndio maana povu linakutoka
Vipi press conference ya sheikh mkuu wa Dar es Salaam jana? Yale ni mambo ya kiuchumi?Askofu Shoo amekuwa na haraka sana ya kukimbilia siasa. Bado tunakumbuka "ndugu zangu Walutheri'.
Askari wakingia pahali ujue uongozi umeshindwa kazi.
Wanatufanya sisi kama mapimbi vile.Ujinga huu, kulikuwa na sababu ya msingi kuinguza mbwa bungeni?? Au askari wa kiume kumshika mbunge mwanamke? Hiyo siyo sawa. Alie toa hili tamko atuombe radhi.
Kwa vile hatujui sheria za bunge hata wakinya ukumbini tukiona tusiseme maana itakuwa tunaingilia bunge.
Tuheshimiane
Ameshafanikisha hilo mkuu. Si tu kwa TBC bali hata za private zinafanya maroroso tu - mfano jana Azam tv walikata coverage moja kwa moja wakati Mdee akimsulubu Mwakyembe.story za uchaguzi ongea na nape anayetaka kufuta vipindi vya bunge kwenda live.