Bunge lakerwa na uzushi, upotoshaji

Huyo askofu ni Nyumbu tu. Yeye aendelee kutetea ndoa za jinsia moja....aachane na siasa.
 
Heee kwani bakwata walipounga mkono kurudia uchaguzi wa Zanzibar hawakua wanaingilia muhimili wa serikali ???
Ndugu yangu, nchi hii imekaa kisiasa tu. kikitamkwa kinachofurahisha upande husika basi kinasifiwa, ila kinachopinga basi kitashushuliwa ile mbaya. Hapo Askofu angepongeza hatua ya uongozi wa bunge kuweka nidhamu ya vikao kwa kutumia hadi mbwa, kuyo msemaji wa bunge angemshukuru sana na kumwita mfano wa kuigwa wa viongozi wa dini.

Kama tunasema viongozi wa dini hawatakiwi kuingilia siasa, inatakiwa wakae kimya..wasishutumu wala wasipongeze. Wasichochee migogoro wala kusuluhisha migogoro. Sasa sijui kama itawezekana!

Ila kilichopo sasa, kiongozi anayeingilia siasa kwa kutetea serikali na chama chake, huyo hadaiwi kuingilia siasa, ila anapigiwa chapua kuwa kiongozi anayefaa maana anawaelekeza waumini wake 'njia sahihi'.

This country bwanaa!! Is vere puaaa!
 
Kitendo cha kuingiza askari polisi na mbwa bungeni sio cha halali kwa watunga sheria waliotumwa na wapiga kura. Ni aibu na kudhalalisha sana.

Anayekiunga mkono kitendo hicho hana akili timau.
 
Dini na saisa polisi waliingia msikitini sehem takatifu na mabuti itakua ukumbi wa bunge ambapo matusi mtindo mmoja
 
Kitendo cha kuingiza askari polisi na mbwa bungeni sio cha halali kwa watunga sheria waliotumwa na wapiga kura. Ni aibu na kudhalalisha sana.

Anayekiunga mkono kitendo hicho hana akili timau.
Kajifunze kuandika ndio urudi kuleta pumba zako JF.
 
Ndugu yangu, nchi hii imekaa kisiasa tu. kikitamkwa kinachofurahisha upande husika basi kinasifiwa, ila kinachopinga basi kitashushuliwa ile mbaya. Hapo Askofu angepongeza hatua ya uongozi wa bunge kuweka nidhamu ya vikao kwa kutumia hadi mbwa, kuyo msemaji wa bunge angemshukuru sana na kumwita mfano wa kuigwa wa viongozi wa dini.

Kama tunasema viongozi wa dini hawatakiwi kuingilia siasa, inatakiwa wakae kimya..wasishutumu wala wasipongeze. Wasichochee migogoro wala kusuluhisha migogoro. Sasa sijui kama itawezekana!

Ila kilichopo sasa, kiongozi anayeingilia siasa kwa kutetea serikali na chama chake, huyo hadaiwi kuingilia siasa, ila anapigiwa chapua kuwa kiongozi anayefaa maana anawaelekeza waumini wake 'njia sahihi'.

This country bwanaa!! Is vere puaaa!
Hahaha inabidi tu nicheke walahi wale jamaa waliotoa tafsiri ya neno SIASA inabidi wakae tena chini waje na tafsiri nyingine hii ya sasa haifai
 
uongozi wa bunge na ukondoo wa kipumbavu.
mbona hawajaainisha hiyo kanuni inayoruhusu polisi kuingia bungeni na bunduki na mbwa kushambuulia na kuwaibia wabunge??
Wewe itakua ulikatiwa shanga nyingi ndio maana povu linakutoka
 
Ujinga huu, kulikuwa na sababu ya msingi kuinguza mbwa bungeni?? Au askari wa kiume kumshika mbunge mwanamke? Hiyo siyo sawa. Alie toa hili tamko atuombe radhi.
Kwa vile hatujui sheria za bunge hata wakinya ukumbini tukiona tusiseme maana itakuwa tunaingilia bunge.
Tuheshimiane
Wanatufanya sisi kama mapimbi vile.
 
Hamy-D kuwa makini na uchangiaji wako.Naona unakurupuka shauri yako unachezea wapakwa mafuta .
 
Back
Top Bottom