Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Mkuu kwa hawa wahuni mafisi Wabunge wa UKAWA ni wakorofi, si unaona hata humu vikaragosi vya mafisadi na wahuni wa CCM wanadai Wabunge wa UKAWA wanaleta fujo Bungeni, lakini kwa sisi wenye mapenzi ya kweli ya nchi yetu hawa Wabunge wa UKAWA tunakubaliana nao kwa kila kitu maana wanachokifanya ni kutetea maslahi ya nchi yetu.
Kwa tafsiri ya vurugu Spika wa Bunge Anne Makinda ndie anaefanya vurugu Bungeni.
Vurugu-kuvunja utaratibu/kutenda kinyume .
Asanteni UKAWA na kama watawazuia kuingia Bungeni kwa hao waliowataja nnawashauri Wabunge wengine wa Ukawa mliosalia mmfanye vivyo hivyo kwa namba .Leo wakimfukuza huyu atabaki huyu mpaka Bunge liahirishwe kwa kuishiwa na muda uliopangwa.