Bunge laahirishwa ghafla, ni baada ya Zitto kuomba Muongozo

nape ni team jk,nashangaa magu alishindwa kuona hilo,angalia maamuzi yake ya kijinga ya kufungia mawio na leo anapiga marufuku live coverage ya bunge...NAPE ANAMUHUJUMU MAGUFULI kwa maelekezo ya MEMBE=MSOGA...
 
HAWA WAHESHIMIWA WANGEJUA TUKO BUSY TUNATAFUTA MKATE WASINGEHANGAIKA KUUZA SURA. WAO WAJADILI HOJA ZA MSINGI NA MA RIPOTA WATATUPA TAARIFA.

HIVI KWA KASI YA DR. JPM YA "HAPA KAZI TU" NANI ANA UJASIRI WA KUACHA KAZI AANGALIE BUNGE?? UNLESS NI HOTUBA MUHIMU.

HATA KWENYE MABAA WATU WAKO BUZY NA KWANZA HAWAENDI KUKAA BAA HAWANA HELA YA KUNYWA SAA HIZI.

KILA MTU ANAKIMBIZANA NA MAISHA APATE MKATE. MAMBO YA KUWA WANANIONA YAMEPITWA NA WAKATI.

WAPIGA KURA WAKO BUZY WANATAFUTA CHAKULA KUPITIA KAZI AU BIASHARA. MUDA WA KURANDARANDA NA KUKAA KUSIKILIZA MIPASHO YENU HATUNA #hapakazitu

Queen Esther
Hicho ndio kizazi kinachotaka kuambiwa tu stori. sio kuona, kushuhudia wala kutafakari. ni wavivu wa kufikiri. Nadhani tatizo linaanzia kwenye wa elimu waliyoipata.
 
RAFIKI YANGU, FANYA KA UTAFITI KIDOGO. PITA MAOFISINI NA KWENYE MA BAA. HEBU KACHUNGULIE NI WANGAPI WAKO KWENYE MALUNINGA SAA HIZI???? TENA KAZINI UKIANGALIA BUNGE NDIO NAKAZI ITAKUWA IMEISHIA HAPO UNLESS UMEAJIRIWA NA MAJUKUMU YAKO NI PAMOJA NA KUANGALIA BUNGE.

WAFANYA BIASHARA NDIO KABISA. NANI AACHE KUTAFUTA HELA AKAE ANAANGALIA BUNGE?? For what??? What is new???? LABDA KAMA MHE. RAIS ANAONGEA AU NI BUNGE LA BAJETI.

Fanya la utafiti utaniambia.

Queen Esther
Narudia swali muda wa kuandika humu unaupata wapi?
 
Mbowe kama kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani (kwasababu hajapatikana mwingine bado) ndiye alipaswa kutoa hoja ya namna hiyo....Dr Slaa nimekukumbuka sana,wewe ndiye ulikuwa kichwa cha CHADEMA ktk bunge lile lililopelekea baraza la mwaziri kuvunjwa na waziri mkuu kujiuzulu.
Umetumwa kuhamisha mada?
 
NDIO MAANA WANAKUWA OMBA OMBA.

WEWE TANGU SAA TATU ASUBUHI UNAKODOLEA TV; ASIYE FANYA KAZI NA ASILE. HATA MAMA WA NYUMBANI ANAHITAJI KUPIKIA FAMILIA CHAKULA NA SIO KUSHINDA KWA TV.

KULE KWETU KASKAZINI WOTE NI WAJASIRIAMALI WA KUZALIWA. MARUFUKU KUSHINDA KWENYE TV!!!!!!

Kauli ya hapa kazi tu itekelezwe kwa vitendo.

Queen Esther

Kwa akili yako unafikiri ni watanzania asilimia ngapi wanakuwa kwenye viofisi vya kulipwa laki tano kwa mwezi kama wewe?? Watu wamejiajiri... watu wanafanya kazi za shift... kuna watu lukuki wanapata nafasi ya kuangalia bunge live. Ni haki yao, ni bunge lao, ni nchi yao.
 
NDIO MAANA WANAKUWA OMBA OMBA.

WEWE TANGU SAA TATU ASUBUHI UNAKODOLEA TV; ASIYE FANYA KAZI NA ASILE. HATA MAMA WA NYUMBANI ANAHITAJI KUPIKIA FAMILIA CHAKULA NA SIO KUSHINDA KWA TV.

KULE KWETU KASKAZINI WOTE NI WAJASIRIAMALI WA KUZALIWA. MARUFUKU KUSHINDA KWENYE TV!!!!!!

Kauli ya hapa kazi tu itekelezwe kwa vitendo.

Queen Esther
mh

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kukutofautisha na mnyama aitwaye kenge....
Hahaha! Mkuu, unanikumbusha jambo moja liliwahi kutolewa na wadau hapa kwamba, huyo mnyama aitwaye kenge huogopa sana kunyeshewa, mvua zikianza yeye kama yuko karibu na chanzo cha maji kama mto, ziwa basi hukimbilia huko kujificha! :)
 
HAWA WAHESHIMIWA WANGEJUA TUKO BUSY TUNATAFUTA MKATE WASINGEHANGAIKA KUUZA SURA. WAO WAJADILI HOJA ZA MSINGI NA MA RIPOTA WATATUPA TAARIFA.

HIVI KWA KASI YA DR. JPM YA "HAPA KAZI TU" NANI ANA UJASIRI WA KUACHA KAZI AANGALIE BUNGE?? UNLESS NI HOTUBA MUHIMU.

HATA KWENYE MABAA WATU WAKO BUZY NA KWANZA HAWAENDI KUKAA BAA HAWANA HELA YA KUNYWA SAA HIZI.

KILA MTU ANAKIMBIZANA NA MAISHA APATE MKATE. MAMBO YA KUWA WANANIONA YAMEPITWA NA WAKATI.

WAPIGA KURA WAKO BUZY WANATAFUTA CHAKULA KUPITIA KAZI AU BIASHARA. MUDA WA KURANDARANDA NA KUKAA KUSIKILIZA MIPASHO YENU HATUNA #hapakazitu

Queen Esther
Kupewa haki yako na kuiacha haki yako kwa hiari yako ni vitu viwili tofauti. Hapa kazi tu kama huwezi hata kujua maelekezo ya mihimili ya dola utakimbia na kuwa namba moja kumbe umepita nje ya mstari hata jirani aliyeachwa mbali sana na wewe atakuwa amekupita kwa kuwa tayari kufuata maelekezo ya mchezo
 
Nijuavyo, Vituo binafsi vinadhaminiwa, ndiyo maana vina fulsa hiyo na vinaweza vikaweka tangazo la mdhamini hali kuwa mijadala inaendelea. TBC ilijaribu karibuni kufanya biashara unakumbuka kasheshe iliyotokea hata mkurugenzi wake akamuliwa ajieleze wizarani kwa nini amefanya biashara.
Basi kama ndivyo, hizo TV binafsi ziruhusiwe kurusha matangazo
mpaka TV ya chama itakapopata fedha.
 
Kweli ccm ina vilaza debe, hata hujui ni haki kikatiba mwananchi kuhabarishwa kila kinachojiri.
haki ya kikatiba mbona huko nyuma hukuwahi kuidai , si imeanza 2007 hapa , hata na hivyo hilo halina maana sana kama posho wanazopokea kama ni halali yao .. nadhan tungejikita hapo kuliko kukomaa na live coverage as if inakupa msosi
 
Hivi kwa nini watu wanapenda kukomaa kujitetea hata kama anajua hayupo right kwa anachokiongea.
 
Na ndivyo ilivyo, AZAM TV, Star TV wanaendelea
Mkuu hebu funguka vizuri sijakupata.
Hapo nyuma ilielezwa kwamba vituo binafsi haviruhusiwi kupiga picha moja kwa moja kutoka bungeni
badala yake TBC itafanya kazi hiyo na wengine watachukua matangazo hayo kutoka TBC
sasa kama TBC wamesimama kuonesha,hao wengine wanapata wapi signal?
 
Sina uhakika na hilo unalolisema, lakini mpaka sasa AZAM TV wanaendelea kurusha matangazo ya moja kwa moja toka siku TBC waliposimamisha urushaji.
 
Bunge limeahirishwa kwa saa moja ili kuipa nafasi kamati ya uongozi kujadili na kutolea maamuzi hoja ya Zitto.

Cha muhimu hapa kwetu ni kuangalia hoja ya serikali, kuwa gharama za TBC! kurusha live Coverage zinafikia billionii nne kwa mwaka hivyo katika kupunguza matumizi wameamua kurekodi na kurudia vipindi jiioni. Hata hivyo wakati TBC1 ikisimamisha live coverage, vituo vingine vya binafsi vinaendelea kurusha, mfano Azam TV,na Star TV.

Awali nilidhani watanzania wengi hawapendi kuangalia TBC1 kwa malalamiko ya sasa nimegundua kumbe TBC inaaminika kuliko vituo vingine vyote.
Nitamiss hoja , nina wasiwasi hata vituo vingine vitazuiwa!
 
Back
Top Bottom