Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,009
- 46,004
Sawa memba wa ufipa, labda nikuulize swali moja , ukimwambia mtu anavaa shanga ni tusi? maana kwa mila na desturi za kitanzania kuna makabila mengi tu yanavaa shanga, mfano watu wa tanga wasukuma, n.k, kuvaa shanga ni matusi au utamaduni?milima ni milima tu hata huko kwafaa, au ulikuwa na maana nyingine wewe kada