Breakfast ya wanaume wa Dar V/S wa Mikoani!!

Ndoo tabu namala
Poa. Ngoja nikutajie ingredient moja muhimu ndani ya pilipili;

Inaitwa "capsaicin" - ni muhimu katika kusaidia afya ya moyo na kongosho linalotoa kemikali muhimu kuondoa sukari kwenye damu; Pia kemikali hii husaidia kuimarisha afya ya uume.

Ubarikiwe.
 
Hii kweli ni breakfast au balaa. Lunch si lunch, dinner si dinner labda snack.
tembo-3-jpg.335028
 
Hii kweli ni breakfast au balaa. Lunch si lunch, dinner si dinner labda snack.
tembo-3-jpg.335028
Hiyo kwa wanaume wa Dar watakula watu zaidi ya 15, ila kwa huku kwetu hiyo ni kama utangulizi tu!!
 
Hiyo kwa wanaume wa Dar watakula watu zaidi ya 15, ila kwa huku kwetu hiyo ni kama utangulizi tu!!
Duh hapo ni hatari. At least na kikobe cha maziwa au chai ya rangi sababu si utakabwa? Karanga kavu, mhindi na viazi vikavu. Je wakienda no. 2 si kelele huko uani?
 
Duh hapo ni hatari. At least na kikobe cha maziwa au chai ya rangi sababu si utakabwa? Karanga kavu, mhindi na viazi vikavu. Je wakienda no. 2 si kelele huko uani?
Hapana, tunashushia na na maji ya mvua tu mbona?? Wewe huwezi maisha haya otherwise uwe na bima ya afya tu sasa maana hakuna namna.
 
Back
Top Bottom