Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

moja ya kazi yake ni kuhakikisha wafanyakazi wote wa serikali wanatumia emails za kazini

cha ajabu Rais Kikwete alikuwa anatumia e mail ya YAHOO

na vitengo mbali mbali vya serikali vililalamika kuwa hiyo email anazo set up huyo Jabiri wenu hazifanyi kazi

Magufuli anaye anatumia yahooo

Jabiri amefeli kubali

Naona unaropoka tu, leo unatokwa na povu sio bure hizo buku 7 ulizolipwa zitakuua! Naona unakazi ya kudukua yahoo za watu teh teh teh Jabiri sio size yako
 
sisi tunamrahishia kazi mwajiri wake

Hicho cheo chake hata certificate huhitaji kuwa nayo. Kashindwa kuweka majina ya menejimenti yake jiulize why?

Kwani na wewe uko ega? au uliomba kazi pale ukakosa?maana hizi hasira zako sio bure!
 
Jabiri kama alivyokuwa Saada Mkuya naye kasoma MALESHA....inawezekana hii nayo ni sababu ya hizi sub standards kazini

Weka CV yako tuone hapa afu tulinganishe na ya Jabir tuone nani kimeo! watu wengine mna laana za taaluma aisee sio bure!
 
Mkuu na wewe una support ujinga aisee kwa kujenga hoja dhaifu!
Wewe ndiye unaye support .....mdau mleta mada kaeleza kitu kilicho obvious kabisa
mfano tovuti kadhaa za umma ukiingia unakuta zina taarifa za kale wakati JF iko current kwa kila kinachotokea any time T.
 
You people naendelea kufuatilia malumbano ya hoja hii naona mnapoteza network! Hivi JF sio National Portal unahitaji darasa, JF unaweza kupost kile unachojisikia kukifanya kama hivi ulivyofanya sio kwenye National Portal take ua time kujifunza uone sio kulipukia mjadala.Pia ujue dhamana ya Tovuti unazozidai wewe haiko chini ya huyo unayemtaja ni bora ukubari tu unahitaji shule kuhusu e - Government other wise unakimbiza upepo utazimia bure!
 
Ahaaaa.....naona unapenda ligi . Kma vipi ngoja nikupotezee tu , ila ki ukweli tovuti nyingi za umma zina taarifa za kale na haziko katika ubora unaotakiwa , licha ya kwamba kuna baadhi ya taasisi zinajitahidi walau kidogo.
 
Acha hizo mkuu ungekua muungwana ungekuja na suggestion ya tovuti yako hapa ikawa role model otherwise endelea kulala upate idea mpya!
 
Hii pia muhimu sana kwa huyo jamaa anayemtaka ubaya Dr. Jabiri Bakari. Jambo moja la kuzingatia ni kuwa mwaka 2015 ni mwaka wa tatu tangu Wakala hiyo ianze rasmi kujijenga na kujitayarisha kukabili jukumu hili jipya nchini la kuwa na Serikali Mtandao. Kwa ubunifu mkubwa wa viongozi na watendaji wake wote kwenye taasisi hiyo, kila mmoja anaweza kushuhudia mafanikio makubwa katika nyanja za uboreshaji wa mtandao wa mawasiliano Serikalini kama wewe ni mtumishi wa umma na uanzishaji wa mifumo mbalimbali inayotumika kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma kwa njia ya mtandao Serikalini.

Huduma nyingine nilizoona katika report zao mbalimbali zililenga zaidi uwepo wa sera, sheria na miongozo inayotoa maelekezo ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa Serikali Mtandao. Wakala hiyo imehakikisha kuwa Serikali yetu inapata miundombinu na mifumo imara na ya kisasa ya TEHAMA ya kutoa huduma kwa wananchi wake.

Nashauri ndg. yangu usome tena usome taarifa zilizo katika link hizo chini ili ujiridhishe uache kulalamika kwa kuwa mm pia nilianza kukuunga mkono lakini nimepata ufafanuzi baada ya kusoma kwa kina leo katika tovuti yao ya www.ega.go.tz sehemu ya machapisho.

http://ega.go.tz/uploads/publications/6566975c13dfffabc5a8008d94b069d4.pdf

http://ega.go.tz/uploads/publications/48b34a68025d37663bc5ba66e2626f41.pdf
 
T
Umeongea la maana sana. CV na exprience visiwe kigezo vya watu kusema anauwezo. Tunataka kujua kazi aliyopewa inafanyika. Kwani mtu anaweza kuwa mzuri kwenye theory utekelezaji zero.
True maana hata Cv ya hosea ni ndefu mno. Issue ni Kazi..
 
kama anashindwa ku update tu websites then cv yake is as good as nothing. tunataka website ziwe current, jambo ambalo ndilo analolipiwa mshahara nalo, mengine akae nayo hayatuhusu.
 
moja ya kazi yake ni kuhakikisha wafanyakazi wote wa serikali wanatumia emails za kazini

cha ajabu Rais Kikwete alikuwa anatumia e mail ya YAHOO

na vitengo mbali mbali vya serikali vililalamika kuwa hiyo email anazo set up huyo Jabiri wenu hazifanyi kazi

Magufuli anaye anatumia yahooo

Jabiri amefeli kubali

Hapana,

Chain of command sio mkubwa kumwambia mdogo nini cha kufanya,wewe vipi?yeye anatoa ushauri, usipofuata hana mechanism ya kuwawajibisha mabosi zake. Hebufikirisha ubongo wako hata kidogo.

Hujajibu hoja, hizo emails na website ni asilimia ngapi ya majukumu oficial ya huyu bwana?provided amefeli, tunahitaji kujua amefeli asilimia ngapi ya majukumu yake ya jumla kabla ya kusema ame-underperform. Kama hujui ni asilimia ngapi, basi hutakiwi kulaumu na kushutumu kuwa afukuzwe.
 
kama anashindwa ku update tu websites then cv yake is as good as nothing. tunataka website ziwe current, jambo ambalo ndilo analolipiwa mshahara nalo, mengine akae nayo hayatuhusu.

Nyie ndio mnalaza njaa ma house maids kwa kusahau kuosha kijiko. umeshaambiwa content za website ni kazi ya idara ya mawasiliano. FYI hata kwenye kampuni binafsi, platform(website) inasimamiwa na IT, na Content inasimamiwa na Marketing/communications department. Hivyo tafuta kitengo cha communications serikalini ni kipi ndio upeleke lawama za kutokuwepo kwa proper updates. ukilaumu ujue unachokilaumu sio kukurupuka tu
 
Tumeshaambiwa mwiny aligawa/kuuza fukwe kwa akina rwakatale , kikwe.te ndo yaleyale tena, sishangai.
 
Back
Top Bottom