"Bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa" ni msemo wa kijinga kabisa. Unajua gharama za ujenzi wewe?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,862
51,526
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.

Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi, lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine.

Hapa naongelea nyumba za kuanzia milioni 30 sio hizo slope za Singida.

Tusidanganyane
 
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilima kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.

Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sioo rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine

Tusidanganyane
Utamjua tu mtu alie kulia katika familia ya wa kulima huwezi kulinganisha amani na utulivu wa moyo na nyumba, hiyo nyumba inaweza akabadili kua kabri ukikosea mke....acha u peasant mkuu.
 
Utamjua tu mtu alie kulia katika familia ya wa kulima huwezi kulinganisha amani na utulivu wa moyo na nyumba, hiyo nyumba inaweza akabadili kua kabri ukikosea mke....acha u peasant mkuu.
We kulima unakuchukulia poa,njoo manyara uone maana ya kilimo,au nenda kibaigwa au ruaha mbuyuni,kilimo ni sayansi,sijakulia kijijini lakini naishi mashambani,wakebya wanetuzidi hapo,wanakiheshimu kilimo maana kinalipa kuliko unavyodhani
 
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.

Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine

Tusidanganyane
Aisee utoto.unakusumbua. kuna watu.wamezikimbia.nyumba.zao kisa wake zao. Kua uyaone. Mke mwema is the top most.priotity
 
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.

Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine

Tusidanganyane
Subiri nakuombea ukosee kuoa kisha ulinganishe na huo upuuzi unaousema.

Ndipo utajua kwanini Elon Musk, Jeff Bezos tajiri namba moja na mbili waliacha wake na hawataki kusikia habari za wake.

Hiyo kauli ina maana kubwa sana. Hata hako kajumba kako utatamani kukaboa au kutoingia humo.

Anyway, ukikua utajua
 
Subiri nakuombea ukosee kuoa kisha ulinganishe na huo upuuzi unapusema.

Ndipo utajua kwanini Elon Musk, Jeff Bezos tajiri namba moja na mbili waliacha wake nabhawataki kusikia habari za wake.

Hiyo kauli ina maana kubwa sana. Hata hako kajumba kako utatamani kukaboa au kutoingia humo.

Anyway, ukikua utajua
Kuna mwamba alisukuma boma lake chini wakati anaendelea na ujenzi kisa KE sasa imebaki historia
 
Back
Top Bottom