ndugu umesoma wap ww koz comment yako haina sura kulingana na uzi uliopohahahaha daktari ndoo nani komeni sasa kuleni udaktari
Hakuna mkuu. Hawatoi sheets bila kuissue cheque. Ukiona mmeshasaini alafu hamjawekewa hela mjue chuo ndo wanawachezea. Sheets zinatoka pale cheque inatokaYaan tatizo sio karatasi walete pesa Cuhas wameshasign lakini mpaka leo pesa hamna
Utakapougua utajua daktari ni nani.endelea kubugia bangi tu!hahahaha daktari ndoo nani komeni sasa kuleni udaktari
bas hili jipu likabidhiwe rais kama wazir haliwezWameshaenda mara nyingi lakini ndo hivyo tena hata wizara ya elimu haielewi pesa ikowapi
Yeah his serikali isiyokua na pesa sijui itatufikisha wapiHii serikali haikuwa ya kipumbavu kutupumbaza kuahirisha ajira angalau kwa miezi kadhaa.
Ni kiasi gani cha fedha kingelipwa kwa hao wafanyakazi kama mishahara na fedha za kujikimu wanapoanza kazi.!? Hii gia ya "tunatafuta wafanyakazi hewa kwanza", maana yake ni hafifu mno.
Kwa wanafunzi ambao wapo chuoni na ikijulikana bayana wanategemea boom ili kukidhi mahitaji yao halafu wazungushwe namna hiyo,inaleta dhana ya serikali hii kukaukiwa fedha au ina fedha ila inaleta sababu za kiafrika.
Kiuhalisi, kodi inaonekana zimeongezeka kila mahali kuipa ahueni hii serikali. Dawa hospitalini zimepanda bei hasa zile zilizotegemea misaada ya nje, vipimo navyo vimepanda bei. Hivi vimepanda mapema tu. Leo tarehe mosi July, yanayoongezeka kumnyonya mwananchi hohehahe ili kuipa nguvu ya fedha serikali yameonekana. Kiufupi serikali naona ikihangaika mno kutafuta fedha, imeshindwa kujua wapi ipate fedha, imekwama. Kilichobaki ajira zichelewe kwa muda ili kutoa wafanyakazi hewa, wanafunzi subirini bado tunahakiki majina yenu na mkigoma chuo chote kinafungwa, mara ninyi ni ******,rudini nyumbani tutawapa utaratibu mwingine.
Wakati wa JK, ilipoona mambo ni magumu ilikopa fedha nje na ndio maana deni la taifa lilipanda mno. Tunaweza kabisa kujiendesha pasi kutegemea misaada au kukopa ila si mwaka huu au kesho.