roboka kafwekamo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 821
- 449
Mvumilivu kwasababu anatangulizwa na mkuu wake hivi wakifika kujisahau kama zuma si na cc tujitupe barabarani kuwazomea tu hata kama hawata hawatakoma.
Hata mimi kwa kiasi fulani nimewazo hivyo na hii itakuwa ni aibu kwa kusubiri mpaka Meya achukue hatua hizi.Ukiona hivyo ujue hata babaye kashaona ni tango pori anatafuta pa kulikatia tu
Aisee bashite ana roho ngumu,kama watu wote tungekua na roho ngumu km bashite,familia zetu zisingelia njaaHa ha ha sasa ulitakaje?
Hivi hujui kuwa anafamilia? Itaishije?
ha ha ha ha umeuliza swali zuri saana. Jamaa anazurura tu mahakamani kila kukicha.Huyu meya anawatumikia wananchi wake saa ngapi?huwa yupo bize sana kwenye fesibuku na propaganda za kisiasa
Mbona ninyi mnapata muda wa kusikiliza shilawadu na nyimbo za dume suruali? Muda gani mnafanya kazi?ha ha ha ha umeuliza swali zuri saana. Jamaa anazurura tu mahakamani kila kukicha.
Ni muda muafaka wa kukifunza toka kwakeAisee bashite ana roho ngumu,kama watu wote tungekua na roho ngumu km bashite,familia zetu zisingelia njaa
"Wasukuma wawili wanaswaga............"Bawacha bhana huwa ni rahisi kuwadanganya sana kwa sababu akili zao ni kama yule mnyama mtu badala ya kuwambia tume ya maadili imeyapokea mashitaka yeye ana wadanganya kuwa imeyakubali hahaha
Hivi sasa kama imeyukabali ni lini Mh Makonda alikwenda kujitetea?
Hapo tume imeyapokea na hilo swala ndilo limeisha asubiri yakifanyiwa kazi hahahhaha
Bawacha bhana