Bongo Movies vs Kenyan Movies

Hehehe!! Wabongo kwa movie zao za uchawi uchawi wasubiri sana, dah nimeipenda hiyo ya Kenya kuona quality movie ikichezewa kwenye barabara ambazo nimezoea kuzitumia.
 
Hehehe!! Wabongo kwa movie zao za uchawi uchawi wasubiri sana, dah nimeipenda hiyo ya Kenya kuona quality movie ikichezewa kwenye barabara ambazo nimezoea kuzitumia.
Ila mitaa yenu ime rust
 
Mbona msiangalie habari za jpm
Manake hko ukitaka leseni yako ibakie salama msifie mkulu
Ni kenya pekee ambayo rais na wanachi wote wamevurugwa,yaani wewe unaweza amka uko na stress ukatukana jubilee mpaka uchoke,kisha unakuja kuisifia hapa jf.

Sisi hatuna sababu ya kutukana rais wetu,maana si mrevi wala mvuta bangi.
 
Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.

Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kenyan Movie

Bongo Movies
Bongo movie wanatakiwa kumchukua Jiwe, anaonekana ni muigizaji mzuri sana.
 
Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya

Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha, Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.
Hi shumileta nilikuwa naisikia na dada yangu mdogo(9yrs old at the time) na oia vijakazi was nyumbani. Kwa filamu naweza taka tushirikiane na tukuze sector hi kwa pamoja.
 
Hi shumileta nilikuwa naisikia na dada yangu mdogo(9yrs old at the time) na oia vijakazi was nyumbani. Kwa filamu naweza taka tushirikiane na tukuze sector hi kwa pamoja.
Mimi huwa napendelea hizi wanazoigiza kwa mtindo wa series na episode huwa wanazipatia sana,

Hizi ni baadhi ambazo zimependwa sana.

Hio sio muvi ya kenya, Ni kipande kidogo tu kwenye series ya netflix inaitwa sense 8,

Anyway hongera kwao
 
Back
Top Bottom