Bomu Lalipuka Zanzibar na Kuzua Taharuki

Vizuri Zanzibar wameweka Camera kali kabisa na za kisasa mji wote wa Zanzibar ikiwemo hilo eneo la michenzani.
Camera hizo zinaambiwa zina uwezo wa kuvuta hadi kilomita moja.
hivyo msema kweli yupo....mara hii kwa mjini hakuna sababu za kuonea watu bure...watoe tu recodi ya hio video...wakisema camera mbovu basi wameweka wenyewe kisonge wasisumbue watu
Km 1 ?? Hizo Camera zinaitwaje mkuu ??
 
Vizuri Zanzibar wameweka Camera kali kabisa na za kisasa mji wote wa Zanzibar ikiwemo hilo eneo la michenzani.
Camera hizo zinaambiwa zina uwezo wa kuvuta hadi kilomita moja.
hivyo msema kweli yupo....mara hii kwa mjini hakuna sababu za kuonea watu bure...watoe tu recodi ya hio video...wakisema camera mbovu basi wameweka wenyewe kisonge wasisumbue watu

Mara nyingine wanaweka ili kuzuga na kutishia wahalifu je mara ngapi mabank yanavamiwa na majambazi hatuoni wahusika wakikamatwa na hizo bank zina camera kila kona
 
Vizuri Zanzibar wameweka Camera kali kabisa na za kisasa mji wote wa Zanzibar ikiwemo hilo eneo la michenzani.
Camera hizo zinaambiwa zina uwezo wa kuvuta hadi kilomita moja.
hivyo msema kweli yupo....mara hii kwa mjini hakuna sababu za kuonea watu bure...watoe tu recodi ya hio video...wakisema camera mbovu basi wameweka wenyewe kisonge wasisumbue watu
Na wewe unaamini kabisa!!!
 
Kontena ilioripukiwa na bomu ni ya maskani ya ccm kisonge,kontena inaonekana imechanikia kutokea kwa nje na halijachanikia kuingia kwa ndani hii maana yake bomu lilikuwa ndani ya kontena ni kusema kuwa wamelitega wenyewe ccm na hao polisi waanze kuwakamata wenye funguo wa hilo kontena la ccm.
 
Hii habari nami nimeitazama ITV na kujaribu kulinganisha na matukio ya dizaini hii yanayotokea nchi zingine kama Somalia, Kenya nk ya watu kulipua maeneo kwa lengo la kuua na kuleta uharibifu, hili la Zenj hata halijaniingia akilini mwangu...haraka haraka akili yangu inagoma!

Ukiicheki vizuri ni kana kwamba tukio la kutengenezwa kwa makusudi flani kuanzia hata wale watu wanaohojiwa, maneno ya yule Balozi Iddi Seif.....utata mtupu!!!!!!

Kwanza walipuaji walienda wakalipua kontena lenye rangi ya njano na kijani ambazo nafikiri ndizo rangi za bendera ya Chama Cha Mazombie

Halafu mlipuko umetokea kukiwa hata hakuna watu ndani au kuzunguka maeneo yale na haikulezwa imetokea wakati gani

Hawa wanatafuta sababu za kuanza kamata kamata tu au sbb za kuahirisha uchaguzi wao huo wa kisanii ili Dr Shein na CCM wapate sababu za kuongezewa muda wa kuongoza!!

Kuna mdau mmoja aliwahi kuandika kuwa, hiki kinachoandaliwa Zenj wala hata si "uchaguzi wa marudio" bali ni usanii tu unaofanywa kwa ustadi mkubwa ili kupata sababu ya kuvifanya visiwa hivyo kutangazwa kwa hali ya hatari na kwa misingi hiyo kupigwa narufuku kwa shughuli zozote za kisiasa kwa muda usiojulikana!!
 
Back
Top Bottom