Bomu la Nuclear omba lisikupate

Mkuu kweli umenikumbusha mbali mi mwenyewe ilishawahi nikuta hiyo, nakumbuka nilihamisha darasa zima kutoka nje mi mwenyewe najifanya nashangaa kwamba sijui muhisika hata sikumbuki nilikula nini?
 
Mkuu kweli umenikumbusha mbali mi mwenyewe ilishawahi nikuta hiyo, nakumbuka nilihamisha darasa zima kutoka nje mi mwenyewe najifanya nashangaa kwamba sijui muhisika hata sikumbuki nilikula nini?[/QUOTE

Mkuu ngumu kumeza hiyo Hari sio nzuri kabisa maana inaaibisha na kufedhehesha omba usipatwe na Hari hiyo. Pole yako mkuu kwa mkasa huo.
 
ndo mana silagi nikiwa nasafir chakula changu biskut ,mkate asubuh imetoka njian ni soda tu, ishanikuta nikiwa na mzee wangu wote tumevimbiwa tunatoka musoma to arusha na ile njia ya serenget ilivyo yan had unajikuta unaweka ahad za uongo na MUNGU wako kama mm nilisema ee MuNGU nisaidie nifike getin serenget salama bila kuharisha kweny bus nikifika ntakutumikia bila kuchoka ata kuwa mwanakwaya nisaidie mungu nisijinyee AMEN
 
Jamaa yaani mpaka sasa hujaanza imba kwaya kwani ilikuwa ni ahadi sasa we jikaushe ahadi ni deni tena na muumba wako atakuumbua wanasema hajaribiwi.
ndo mana silagi nikiwa nasafir chakula changu biskut ,mkate asubuh imetoka njian ni soda tu, ishanikuta nikiwa na mzee wangu wote tumevimbiwa tunatoka musoma to arusha na ile njia ya serenget ilivyo yan had unajikuta unaweka ahad za uongo na MUNGU wako kama mm nilisema ee MuNGU nisaidie nifike getin serenget salama bila kuharisha kweny bus nikifika ntakutumikia bila kuchoka ata kuwa mwanakwaya nisaidie mungu nisijinyee AMEN
 
ndo mana silagi nikiwa nasafir chakula changu biskut ,mkate asubuh imetoka njian ni soda tu, ishanikuta nikiwa na mzee wangu wote tumevimbiwa tunatoka musoma to arusha na ile njia ya serenget ilivyo yan had unajikuta unaweka ahad za uongo na MUNGU wako kama mm nilisema ee MuNGU nisaidie nifike getin serenget salama bila kuharisha kweny bus nikifika ntakutumikia bila kuchoka ata kuwa mwanakwaya nisaidie mungu nisijinyee AMEN
umenichekesha sana. Sasa ulifika hapo getini salama?
 
Kuna saa gar limekolea sa ngap lisisimame kuchukua abiria aa na mm nkashuka hapo hapo wakatishia kuniacha me ckujal nkaenda jisaidia nilivorud mambo shwar ila tumbo mwanaharamu dk 20 hazikuisha tumbo likaanza tena
 
Hahahaaa! Ulikuwa umekula nini?
 
Hahahaaa! Ulikuwa umekula nini?
Mkoa wa watu ule dada angu sikuwah kwenda b4, hspital nkaambiwa damu imechafuka miguun vilitokea vidonda vya kutosha,

baada ya zle dk 20 tumbo kuanza tena nilijkaza nkafika serenget salama tu, ila vyoo vyte vilikuwa na watu nkaanza ruka ruka pale kama dk mbil hv akatoka mmoja nkaingia ,

baada ya shughul nachek toilet pepa alietoka kamalizia nafungua bomba no water aaaaargh ! nilikasirika kwel
 
ukafanyaje sasa? Pole sana.
 
Back
Top Bottom