Unaongea Mno!! Hivi Dar UMEFIKA Mwaka Gani!!!!??? Kama Sio Mgeni Hapa Dar, Nadhani Ungekuwa Na Ufahamu Kidogo Kuhusu Hayo MAENEO Ya Mabondeni (JANGWANI) Miaka Ya 80 Mabonde Karibia Yote Yalikuwa WAZI, Hadi Pale CCM Ilipovamia Pale Ktk. Bonde La Msimbazi Kati Ya Tabata Matumbi, Buguruni Na Kigogo Na Kuanza Kujenga Mradi Wao Waliouita SUKITA!! Hapo Ndipo Walipowakaribisha WANANCHI Kuanza Kujenga Makazi, Wafanyabiashara Walianza Kujenga Magodauni, Mayadi, Magereji Na Maofisi!! Kuanzia Tabata Matumbi Na Kuungana Na Buguruni Ally Hamza! Pale Tabata Dampo Na Kigogo! Haya Mandela Road Mabonde Yote Yamejaa VIWANDA, MAGODAUNI, MAYADI, MAGEREJI NA MAOFISI! Kuanzia Tabata Dampo Hadi External Na MABIBO Loyola Na MWISHO!!!! Fika Kigogo Sabusa / Manguruwe, Hadi Magomeni Madaba Na Mzimuni, Rudi Yanga Hadi Zilipokuwa Ofisi Za KAJIMA Moro Road!! Juzi Tu Zimejengwa Ofisi Za DARTS!! Haya Twende Pale Bonde La Keko / Kurasini, Kumejengwa Magodauni, Mayadi Na Maofisi Kwenye MKONDO Wa MAJI Kuelekea BAHARINI!!! NENDA MSASANI Bonde La Mpunga HADITHI Hiyo Hiyo!!! Na Hata Unaosema Walikaa Kimya, Sio Kweli Kwani Walishaorodheshwa Na Kupigwa Na Picha!! Walichokuwa Wanasubiria Ni Kukamilishwa Kwa Zoezi La Kupatiwa MAENEO!! Lkn Wajanja Wamepiga DILI, Viwanja Vimetolewa Na Waliorodheshwa Wakiwa WANASUBIRI!!!! HIVI WATU MASHUHULI Kama Duwa Said, Familia Ya Nicodemus Bambaga, Mwanatwa Kihwelo Na Wengineo Nao Walipewa MAENEO Lkn Wakang'ang'ania Mabondeni Au Walibweteka Kudai Wapatiwe Maeneo Yalio Salama!!!!!!!!!??Kimsingi hakuna mwenye nyumba bondeni halafu awe na hati ya kiwanja.Nyumba zote bondeni viwanja vyake havina hati
Zipo chache viwanja vyake vinahati ila hati hizo unakuta kahonga afsa ardhi kapewe ila nakala ya pili inayobaki haipo namba ya hati ukiitafuta haipo hawa tunasema wanahati ila wametapeliwa
Katika kesi ya msingi ambayo tunatarajiwa kusikilizwa jumatatu upande wa malalamiko umeambiwa upeleke ushahidi na vielelezo ili kuthibitika kwamba kweli eneonilake hivyo ukimbomolea mpatie na eneo mbadala....Hapo ndipo kasheshe litakuja
Ndiyo maana ninasema mnachelewesha ila kimsingi mtabomolewa tu.
Wapo watu wanasema ufanyike ubinadamu.ubinadamu upi sasa tangu mwaka 2013 mnaambiwa hama hamtaki 2014 mafuriko yaka wakumba mkasema serikali haitusaidii haya mkasaidiwa misaada ya kibinadamu na baadhi hasa wale wa jangwani wakapewa viwanja,mabati na cement wachache wakahama wengi wakabaki
Tokea wakati huo sheria zilikuwepo nawangetaka wakafanya ila mkapewa muda bado hakuna aliyejitokeza eiza kwa maandishi au kwa mdomo kuomba eneo ili ahame ila sasa hivi sheria inafuata mkondo wake mnaona watu wabaya....
Inaumakuvunjiwa nyumba ila ifikesehemu tusiombe ubinadamu bila kukubali kwanza umetenda kosa halafu kutokujua kosa ni sehemu ya kutenda kosa