Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

mkuu mbona nawe umemuweka kwa avatr mtoto wa watu kipanga alizungumza mbele ya UN.ni mdgo wako au ndie weye?
Nimeweka kumpa heshima ya pekee kwa speech aliyoitoa mbele ya wale wazungu mkuu. Siyo Mdogo wangu na siyo Mimi ,ana umri unaoweza lingana na Binti yangu wa kwanza.
 
Nimeweka kumpa heshima ya pekee kwa speech aliyoitoa mbele ya wale wazungu mkuu. Siyo Mdogo wangu na siyo Mimi ,ana umri unaoweza lingana na Binti yangu wa kwanza.
ah vizur mkuu,..kumbe hat mi naweza kuwa mwanao kw umri wang,hahah ila usiamin ivo bhan mi mkubwa.
 
Naombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE

Nichague nini?
4b85478cfa8255c69c9322760005e827.jpg

83c9e97b28aa65bc00d9916f0f9aa2f6.jpg
6180233655c2d5c0aab4201a5f63bf69.jpg
Acha Dharau Za Kijinga
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kulinganisha vitu hivi viwili kwa utofauti uliopo na tena wa wazi. Starehe si sofa. Hata kama ni sofa, zina material yapi? Kuweni watu wazima. Basi ya kichina na bombadier wapi na wapi?
 
Panda Shabiby uwahi ahera kama siyo ulemavu. Soma habari zake imeua wangapi mpaka 2017 ndo utaipenda
Mkuu,nadhani ni umakini wa dereva2,coz hakuna tajiri anayependa kusikia gari yake imepata ajali ni sifa mbaya kwa kampuni
 
Back
Top Bottom