Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda kukamilika Juni 2020

Hata sijui kwa nini walibadilisha gia angani.
Kwani ni 'gia'gani ilibadilishwa angani.

Naelewa hapa unajiingiza tu bila kujua kinachotokea kwenye mradi huu.

Magufuli hapa hana lolote la kulaumiwa juu yake, tatizo lipo huko huko Uganda kwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…