KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,163
Kwani ni 'gia'gani ilibadilishwa angani.Hata sijui kwa nini walibadilisha gia angani.
Naelewa hapa unajiingiza tu bila kujua kinachotokea kwenye mradi huu.
Magufuli hapa hana lolote la kulaumiwa juu yake, tatizo lipo huko huko Uganda kwenyewe.