Bollen Ngetti yuko wapi?

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,722
2,371
Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi?

Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019

yuko wapi?
 
TAFAKARI kwa makini ujumbe huu. Jua kwamba kila hatua unayopiga ukitembea zinakuelekeza kaburini. Si kwamba ukisimama safari hiyo nayo imesimama, hapana!

Jitahidi mno kuishi vizuri na watu. Kuwa mnyenyekevu, mpende kila mtu. Salimia watu, hurumia watu, waheshimu watu, tamani maisha baada ya uhai. Unayempuuza leo yeye kesho hatokupuuza ila utaumia kwa fedheha na aibu kabla hujafukiwa. Upendo ukutawale daina dawamu.
Nawatakia "derby" njema yenye "hatrick " ndani yake.
19/10/2024
Time: 14:12 pm
Idodomya!
Huyo ni Bollen Ngetti Facebook.
 
Huyo ni Bollen Ngetti Facebooniwekee link ya account yake
 
Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi?

Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019

yuko wapi?

Lina laana ya Magufuli kama ilivyo kwa Chadema wengi
 
Back
Top Bottom