Boeing to take Pilots out of the Cockpit with self flying Planes.

Madam Nalendwa mbona hii kitu walianza mda sana labda wawe wanaboresha tu kwa sasa.

2013 walirusha F16 bila rubani na ikafanya vyote ambavyo F16 yenye rubani inafanya.

756e8d6db770bf8362a847febe04b928.jpg


Tafuta videos YouTube ujionee mwenyewe.

Labda tusubiri hizo za abiria

Wenzetu wapo mbali sana.
 
Sisi kwetu Kiwanda ni Cherehani 4
Kwetu bado maji ni tatizo wakati tuna mito na maziwa makubwa
Kabla ya kulaumu jiulize wewe unaishi nchi gani na umeifanyia nini! Au kuna mtu unamtegemea kufanya hayo unayoyategemea, kuyashangaa na kuyatamani! Je, hata hiyo cherehani moja wewe unayo au maneno tu yanakutoka.

Aibu, kama ni mtu mzima hovyo, kama ni kijana angaza mbele, nyuma mwiko.
 
Miafrika inawaza kuiba na rushwa tu.. Wakipata pesa wanawaza kutom.b@na tu, awe mwanaume au mwanamke.. Maendeleo ni constructive thinking..

Haha!, Jay hii Lugha yako! :D

Kweli lakini yaani wenzetu inaonekana akili zao muda mwingi zinawaza uvumbuzi na maendeleo zaidi. Hadi mtu unaona wivu kiaina.
 
Madam Nalendwa mbona hii kitu walianza mda sana labda wawe wanaboresha tu kwa sasa.

2013 walirusha F16 bila rubani na ikafanya vyote ambavyo F16 yenye rubani inafanya.

756e8d6db770bf8362a847febe04b928.jpg


Tafuta videos YouTube ujionee mwenyewe.

Labda tusubiri hizo za abiria

Wenzetu wapo mbali sana.


Mh!, sikuona hii Kokuyo, kumbe drones ni wao pia? wameanza kitambo basi!
Sasa wanaingia na za abiria, hivi tutakuja kuwafikia hawa kweli? maana hii speed sio ya dunia hii..
 
Haha!, Jay hii Lugha yako! :D

Kweli lakini yaani wenzetu inaonekana akili zao muda mwingi zinawaza uvumbuzi na maendeleo zaidi. Hadi mtu unaona wivu kiaina.

Nao, ni kama sisi tu ( tena wametuzidi ), ila sema sie ndio tume amua kua hivi kama abavyo tupo.... na kazi hatutaki kufanya

Your life will be ......
Whatever you are
Unwilling to live without.
 
Hii inashangaza kidogo!! Mbona watu weledi wanajua kwamba kampuni ya Boeing ime-install software za siri kwenye ndege zao, software/apps zinaweza kuwa envoked remotely na kampuni ya Boeing anytime wakihamua kufanya hivyo, lengo la apps hizo ni ku-override ma-Pilot na Autopilot system za ndege zao wakaziongoza wao wenyewe wakiwa ofisini (Washington Seattle) zinaongozwa remotely kama DRONES vile, Pilots kwenye ndege wanapokwa uwezo wa kufanya lolote wanabaki kama watazamaji tu, hivyo ndege hiyo inaweza kupelekwa popote Duniani na kufanya lolote wapendalo, ni Nchi chache zinazo jua ukweli huu - ndege ya Boeing y Malaysia iliyokuwa imebeba wanasanaysi mahili wa Kichina kwenye masuala ya silaha kali na ICT ilipotea kwenye mazingira hayo hayo - hijacked by remote control na kuwa ditched Indian Ocean a cream of Chinese Scientists wiped out like a candle flame in the wind!!

Ndiyo maana kwa muda mrefu ndege za Boeing zinazo nunuliwa na Wachina au Warusi zikifika Nchini mwao Interior trims wanazi strip to bare bones kuangalia wiring systems na devices zilizofichwa kwenye airframe, vile vile wana retrofit navigation system ambazo ziko-customised na mainjinia/programmers wao, hawanunui ndege za Boeing na kuanza kuzitumia immediately/right away bila ya kuzikikagua kwa kina/kiundani kwanza.

Labda Boeing wangesema wanataka kuziongezea uwezo wa ku-land na ku-take off (maanake kwenye usafiri wa anga phases hizo mbili ndiyo critical zaidi) bila ya msaada wa binadamu hapo ningewaelewa, lakini hili la kuongoza ndege by remote control wakiwa aridhini na kuipeleka popote watakako bila ya kutegemea pilot, uwezo huo wanao sana na wanautumia wakitaka kuangamiza abiria ambao ni tishio kwa usalama wao au kiongozi ambaye hawamtaki kama akipanda ndege iliyo wekewa mitambo tajwa hapo juu wataisababashia ajali kwa kuitumbukiza kwenye Bahari au kuibamiza kwenye Milima.
Daah kwa hiyo unamaanisha tujipange Sio? Maana hawamtaki jamaa
 
Haha!, usitishe watu bhanaa! :D

Wamesema lakini their biggest challenge is getting a system up to a strict safety aviation standards, kama wanajipanga hivi by the time wanaanza kuzirusha zitakuwa safe sana.

Hizo ni hatari tu ... software application sio binadamu ... inaweza crush ! Kujuta, Bora kusafiri sasa kwa submarine tu uu :eek::eek:
 
Mpaka leo hii mkuu, tungekuwa tumejipanga vizuri hizo malighafi ndio zingekuwa msaada mkubwa kwetu kupata technology, at least tungekuwa mbele zaidi kidogo ya tulipo.
Ni kweli tungekuwa mbele sana tatizo ni uongozi dhaifu wa ccm lkn hatuna mbadala.
 
Back
Top Bottom