jitu la kale
Member
- Dec 29, 2010
- 77
- 18
Mkuu mimi ni mmoja wa victim wa hawa bodiwadau habari za mchana,mimi naishi mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofsini kwao PPF PLAZA ofisi za kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela,na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo.Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua gafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani,ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi,na maelezo ya ofsini ni uongo mtupu.
ushakosea wewe... tulia tafuta msaada wa sheria alafu lipwa kwa riba na fidia juu.. kitendo hicho kimekuletea msongo wa mawazo na pia kimethoofu maendeleo yako.. tafuteni kuzijua haki zenu na kuzisimamia kama hutafanya hivyo wao wanafanya hivyo.wadau habari za mchana,mimi naishi mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofsini kwao PPF PLAZA ofisi za kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela,na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo.Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua gafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani,ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi,na maelezo ya ofsini ni uongo mtupu.
Mkuu mimi ni mmoja wa victim wa hawa bodi
Nimefanya process zote walizotaka ili kurejesha ela walioikata lkn hadi leo bado sijarudishiwa
Bodi ya mikopo haikati mishahara ya watu, wanaokata ni waajiriWadau habari za mchana,
Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.
Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo. Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua ghafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani, ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.
Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi na maelezo ya ofisini ni uongo mtupu.
Ni HR na Accountant wana mambo ya ajabu sana. Harafu wengi wao ni waoga!Bodi ya mikopo haikati mishahara ya watu, wanaokata ni waajiri
Wadau habari za mchana,
Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.
Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo. Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua ghafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani, ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.
Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi na maelezo ya ofisini ni uongo mtupu.
Mimi nilianza kukatwa kimakosa na bodi mwezi wa 7 na 8 mwaka jana 2016..niliwasiliana nao wakanipa barua ya kusimamisha makato..ambayo nilipeleka kwa afisa utumishi wangu, na waliniambia niandike barua ya kuclaim pesa zangu ..zimekuja kurudishwa mwaka jana mwezi wa 12..yaani baada ya miezi 4.