Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,319
- 6,359
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali.
"Jambo hili likitushinda kabisa lazima tuihusishe Serikali iweze kusaidia, kwasababu kuhakikisha amani inakuwepo sio suala letu sisi peke yetu kila mtu anatakiwa kuhakikisha kuna kuwa na amani" — amesema Mguto.
Itakumbukwa mnamo Machi 8, 2025 Bodi ya Ligi kuu TPLB iliahirisha mechi kati ya mahasimu hao iliyopangwa kupigwa siku hiyo ya Machi 8 ya Wananchi Young Africans kuandika barua ya kubainisha kuwa hawataucheza tena mchezo huo huku wakidai alama tatu.