Bodaboda ni kazi ya ku take risk sana

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
15,613
45,762
Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.

Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
1745240466275.jpg
 
Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana. Ni heri risk wanayopata mahambazi. Jambazi anatake risk kwa dili la millioni 40, 60, 100 n.k
While bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.
Kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
View attachment 3311075
Huo ndio mgawanyo wa kazi mkuu!
 
Back
Top Bottom