Hata mimi kikwetu kwetu huwa naangalia hizo hizo mbili lakini kidunia naangalia sana livescores kama nikiwa kwenye simu ila nikiwa kwenye pc naangalia espn au lemonsport au frombar kwa ajili ya live streaming.awali nilikua mpenzi sana wa Shafih Dauda
sasa amefifia nimebaki wa Bin Zubeiry na Saleh Jembe
Je Kitaifa kuna Blog nyingine kali zaidi?
Kimataifa Naangali sana
Goal.com ama Live Score
kuna kali zaidi?
Hata mimi kikwetu kwetu huwa naangalia hizo hizo mbili lakini kidunia naangalia sana livescores kama nikiwa kwenye simu ila nikiwa kwenye pc naangalia espn au lemonsport au frombar kwa ajili ya live streaming.
Ni kweli kikwetu kwetu Bin Zubeiry na Saleh Jembe ndo wamekamata kwa sasa, japo sometym wao kwa wao waga wanapiganaga madongo ukiwafuatilia kwa karibu. Waache mchezo huo. Worldwide kuna xscores.com, nowgoal.com pamoja na hizo nyngne ambazo zimetajwa.
hizi za nje ngeni kwangu nashukuru kunihabarishaNi kweli kikwetu kwetu Bin Zubeiry na Saleh Jembe ndo wamekamata kwa sasa, japo sometym wao kwa wao waga wanapiganaga madongo ukiwafuatilia kwa karibu. Waache mchezo huo. Worldwide kuna xscores.com, nowgoal.com pamoja na hizo nyngne ambazo zimetajwa.
Katika pita pita yangu mitandaoni nimekutana na blog, adress yake ni "www.simbamakini.com" ambayo inaripoti taarifa za Simba Sc tu. Pia inakuwa updated kila everytime.
Sijajua nani yuko nyuma ya hii blog, ila imenifurahisha sana. Nadhani kipindi hiki tunasubiri website ya club itengenezwe, ni vyema tukawa tunapitia hiyo blog kupata taarifa za uhakika kuhusu timu yetu.
Waisome Amavubi Masuke Freeland grafani11 barafuyamoto Ngarna geniveros Jaslaws na wanamsimbazi wote.
Mkuu nashukuru kwa taarifa,inapendeza mno kukutana na wadau.Katika pita pita yangu mitandaoni nimekutana na blog, adress yake ni "www.simbamakini.com" ambayo inaripoti taarifa za Simba Sc tu. Pia inakuwa updated kila everytime.
Sijajua nani yuko nyuma ya hii blog, ila imenifurahisha sana. Nadhani kipindi hiki tunasubiri website ya club itengenezwe, ni vyema tukawa tunapitia hiyo blog kupata taarifa za uhakika kuhusu timu yetu.
Waisome Amavubi Masuke Freeland grafani11 barafuyamoto Ngarna geniveros Jaslaws Komeo Lachuma na wanamsimbazi wote.
Mkuu nashukuru kwa taarifa,inapendeza mno kukutana na wadau.
Katika pita pita yangu mitandaoni nimekutana na blog, adress yake ni "www.simbamakini.com" ambayo inaripoti taarifa za Simba Sc tu. Pia inakuwa updated kila everytime.
Sijajua nani yuko nyuma ya hii blog, ila imenifurahisha sana. Nadhani kipindi hiki tunasubiri website ya club itengenezwe, ni vyema tukawa tunapitia hiyo blog kupata taarifa za uhakika kuhusu timu yetu.
Waisome Amavubi Masuke Freeland grafani11 barafuyamoto Ngarna geniveros Jaslaws Komeo Lachuma na wanamsimbazi wote.
Obheja sana.Katika pita pita yangu mitandaoni nimekutana na blog, adress yake ni "www.simbamakini.com" ambayo inaripoti taarifa za Simba Sc tu. Pia inakuwa updated kila everytime.
Sijajua nani yuko nyuma ya hii blog, ila imenifurahisha sana. Nadhani kipindi hiki tunasubiri website ya club itengenezwe, ni vyema tukawa tunapitia hiyo blog kupata taarifa za uhakika kuhusu timu yetu.
Waisome Amavubi Masuke Freeland grafani11 barafuyamoto Ngarna geniveros Jaslaws Komeo Lachuma na wanamsimbazi wote.
Obheja sana.
Wabheja kurumba nkoi.
Mkuu nashukuru sana.
Nilikua natembelea sana Saleh Jembe na Bin zubeiry
Choooo! Gashi ole o kaya gete Ngalo. Nasega gete