utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake ya kama kiongozi imemjengea hali ingine inayofanya wadadisi kujiuliza huyu mama ni nani!
Achilia mbali kuwa ni Board member wa WAMA,NGO Ya Mama Salma Kikwete iliyopo Ikulu!sijui alipenyaje huko!lakini matendo yake akiwa KM yanatia mashaka kama kweli huyu ni katibu mkuu kama wengine!niHebu angalia mifano hii ya maamuzi akiwa wizara ya afya!....
Kwa miaka 2 mama huyu amefanikisha wizara kutumia zaidi ya Sh.Billion 4 kushiriki maenesho ya Sabasaba na Nane ambako amekuwa akifanya kufuru kubwa.
Mfano mdogo mmoja ni sare ,mama Blandina amewezesha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni karibu shi Bilioni 2.7!nguo hizi zimekuwa zikiletwa na Duka la Mariedo moja kwa moja toka Uingereza.!Maswali ya kujiuliza hapa je haya ni matumizi yaliyohalalishwa na bunge kweli ,kumbuka Bilioni 2.7 zingeweza kununua vitanda 2700! vya hospitali kwa bei ya Tsh.1,000,000 kila kitanda ,natumaini kwa mtaji huu shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanallala chini kule AMAna,Ilala na MUHIMBILI!
jAMBO LINGINE LINALOTIA MASHAKA NI MCHAKATO WA MANNUNUZI UANAOFANYIKA!LICHA YA KUWA FEDHA HIZO HAZIPITISHWI NA BUNGE LAKINI NAMNA AMBAVYO KAMPUNI YA MARIEDO IMEKUWA IKISHINDA ZABUNI HII KWA MIKA MIWILI MFULULULIZO NI MASHAKA MATUPU!
KUTOKANA NA MFANO HUU TU MDOGO NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE HUYU MAMA ANATOA WAPI NGUVU HII YA KUNUNUA NGUO ZA MAENESHO KWA VITANDA VYA HOSPITALI 2700!