Blackberry :Blackberry yafufuka kinamna nyingine.

blackberry nimoja ya simu imara na zenye hadhi yake wao na NOKIA tatizo soko la smati4n liliwachanganya sana kidogo nokia hawajaachwa sana.na nashauri iruhusu bado bbm app kutumika sio kwa blackberry tu bali simu zote za android kama ilivofanya ni idea nzur.

kipindi hko mtu akiwa na blackberry curve wee usicheze nae anaonekana boss alaf matumiz ya kulimit vifurush vya net vya kwao tu ni moja ya kitu kilikua kinaboa sana sijui kama walishatatuaga hili tatzo
 
Back
Top Bottom