and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,716
- 37,052
Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa kufanikisha hili.