Binti Kapandisha Mapepo Gheto

Hahah hah hah iliwahi mtokea mshikaji wangu ghetto ikatulazimu tumpeleke mtoto wa kike zahanati ya karibu akala sindano ya usingizi na mapepo yakatulia...ilikuwa mshike-mshike ila mwishowe niliokoa jahazi!
 
mkuu ukamvalisha nguo?..yani asali unaletewa wewe unaifunikia?huyu mdada alikosa jinsi ya kukueleza hajatosheka ndio akaamua kufanya kituko hicho atleast umuelewe
 
Hahah hah hah iliwahi mtokea mshikaji wangu ghetto ikatulazimu tumpeleke mtoto wa kike zahanati ya karibu akala sindano ya usingizi na mapepo yakatulia...ilikuwa mshike-mshike ila mwishowe niliokoa jahazi!
Ni exprience mbaya. Siombi nikutane nayo tena
 
Ndugu hio n dham kama dhambi nyingine,, cjakuelewa wampeleka kuchek afya then kuombewa kisha mwafanya uzinzi,, ucmpake Mungu matope asee,, wajichukulia laana kubwa na cku zote Nuru na giza haviwez kuchanganyikaa
 
Back
Top Bottom