Us alger ni bingwa kapiga wote huko utopoloni kachukua kombe,hata wydad alipigwa na simba kwa mkapa na akachukua kombe la mabingwa hiyo haiondoi ukweli kwamba hata bingwa anaweza kuotewa na underdog kama ihefu alivyomuotea yanga.kwahiyo kufungwa kwa al ahly hakufuti ukweli kwamba timu ikiangukia shirikisho ujue imeshindwa kushiriki ligi ya mabingwa