Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

Us alger ni bingwa kapiga wote huko utopoloni kachukua kombe,hata wydad alipigwa na simba kwa mkapa na akachukua kombe la mabingwa hiyo haiondoi ukweli kwamba hata bingwa anaweza kuotewa na underdog kama ihefu alivyomuotea yanga.kwahiyo kufungwa kwa al ahly hakufuti ukweli kwamba timu ikiangukia shirikisho ujue imeshindwa kushiriki ligi ya mabingwa
Wydad alichukua lini hilo kombe?
 
Man city kapigwa na brenford,

Kwa hiyo brentford ni bora kuliko mancity ?

Mancity amechukua makombe manne msimu huu.
 
Haindoi ukweli kwamba shirikisho ni ligi ya walioshindwa huku club bingwa,haiondoi ukweli kwamba yanga alikutana na wakina marumo ambao ni dhaifu na wameshashuka daraja.mtu wenu haji manara aliwahi kuthibitisha hili
Hata Sasa wanaendelea kukutana na timu dhaifu mpaka fainali.pia NBCPL timu dhaifu mpaka ubingwa.
NB: El mereikh CAF rank 27
Power dynamo CAF rank 86
 
Hata Sasa wanaendelea kukutana na timu dhaifu mpaka fainali.pia NBCPL timu dhaifu mpaka ubingwa.
NB: El mereikh CAF rank 27
Power dynamo CAF rank 86
El merekh hakuna ligi kwao kuna mabomu tu ndio mana wamwcheza rwanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom