Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
Samsung walivyo toa S6 na sasa S7 (yenye mauzo ya kufa mtu na design nzuri kupitiliza) Ndio watu wameanza kuamka na kuona IPhone ni ujinga
TatZo lako unaangalia soko la hapa Tz hapo kariakoo but tunaangalia mauzo ya apple au samsung worldwide hawa apple ni kama mavampaya kwenye hii sekta me nlkua 1 ya watu nilioikataa mara ya kwanza apple iphone 6 nikasema dizain hii hawatauza wiki ya kwanza wakauza nakala milion 5 hii leo me mwenyewe nikaja kuipenda iphone 6 ile mbaya.