Asclepius
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 694
- 730
Hatuoni kwa sababu tunakua tumefumba machoRejea kichwa cha habari na karibu katika utoaji wa mchango wako ambao Kwangu Mimi una thamani kubwa sana.
Binadamu wengi sana tuna kinyaa katika kufanya mambo fulani au kuna vitu tukiviona huwa tunasikia kinyaa lakini mbona kwenye mambo ya mapenzi huwa hatuoni kinyaa na tunafanya tuu bila shida yoyote.