johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 98,242
- 172,480
Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea
=============================
Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club.
Abromovich amekuwa mmiliki kwa miaka 19. Kwenye statement iliyochapishwa kwenye Chelsea club website leo. Pia amesema pesa itakayo patika ataitoa kama msaada kusaidia waathirika wa vita Ukraine.
Vile vile amesema kwamba hataidai Club ya Chelsea mkopo aliwapa ambao ni dola bilioni 2!
Source: Statement from Roman Abramovich | Official Site | Chelsea Football Club