johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 98,242
- 172,480
Vita ni hatari zaidiBillionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea
Source: Star tv
Vikwazo siyo mchezo!Vita ni hatari zaidi
Unapigana vita ukimtegemea Mchina?Vikwazo siyo mchezo!
Russia ni bure kabisa!Unapigana vita ukimtegemea Mchina?
Wote ni mabilionea in terms of usd hakuna cha zaidi hapo mkuuMkuu, mtu akiitwa bilionea kwa uchumi wa tanzania…na mwingine jina hilo hilonkwa uchumi wa ulaya, hao ni watu waili tofauti sana
Bwashee ubilionea haupimwi kwa fedha ya madafu!Mkuu, mtu akiitwa bilionea kwa uchumi wa tanzania…na mwingine jina hilo hilonkwa uchumi wa ulaya, hao ni watu waili tofauti sana
Ahsante sana bwashee!Wote ni mabilionea in terms of usd hakuna cha zaidi hapo mkuu
Wote ni mabilionea in terms of usd hakuna cha zaidi hapo mkuu