DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 550
...Uwezo wa kukifufua inao, but that is beside the point. What's important is, kitaweza kufanya kazi kwa faida, na kutoifanya Serikali kuweka ruzuku mara kwa mara?Siyo kama nabeza...bali nionavyo mimi serikali haina uwezo wa kufufua hicho kiwanda,nakijuwa fika hicho kiwanda kwani nimefanya kazi hapo miaka Nane.Lakini tusubiri leo ni 2016....tukijaaliwa uzima na ALLAH tukumbushane tena mapema 2017 tarehevkama leo
...And this brings us to a policy question. Je, Serikali itaanza kuendesha na kuanzisha viwanda?