Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

Aug 29, 2022
72
140
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.

Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
 
Sijawahi kuelewa kwa nini serikali ilijenga viwanja viwili vyenye matumizi sawa sehemu moja.

Yani serikali nayo haitaki kutafuta maeneo mapya wanasema tutabanana hapa hapa
Mambo kama haya hutokea kwa watu wasio na mipango endelevu, na wakurupukaji. Pale walitakiwa kuukarabati tu huo uwanja wa uhuru kama kilichotokea kwenye ule uwanja wa Amani Zanzibar!

Halafu lile eneo lingine lenye huo uwanja wa Mkapa, wangeweka uwekezaji mwingine wenye tija! Mfano Kituo cha kukuza michezo kwa ajili ya vijana wenye vipaji, hostel na pia hotel kwa ajili ya timu ya Taifa, nk.
 
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.

Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Tena! Na Tena, na Tena! Hizo kamba zitakuja kuwakaba shingo kabla ya uchaguzi.
 
Mimi ningekuwa na mamlaka nchi hii ningefanya yafuatayo:

1. Ningevirudisha serikalini viwanja vyote vya michezo vilivyochukuliwa na CCM

2. Ningeunda Taasisi ya kusimamia na kuboresha viwanja vyote vya michezo na vya wazi nchini. Viwanja vyote kuanzia vikubwa kama Mkapa, mashuleni hadi vya mitaani vinakuwa chini yake. Taasisi hii itakuwa inafanya kazi na Wizara za Michezo, Ardhi na TAMISEMI.

3. Mengine yanafuata baada ya hapo katika kuweka standard na kuzisimamia
 
Why always wachina?
Kina Maganga, Uiso, Kimweri, Mwakabusi, Rwegasira na Mapunda hawawezi kufanya hiyo shughuli?
Hawa kina Mangungo na Ndugai lini wataanza kupewa kazi kubwa kwenye nchi Yao.
Au nimekosea wajameni?

Watanzania kila siku WANAPEWA kazi za kujenga makalvat Mbagala.
Kama SUMA walijenga Ikulu Dodoma Uwanja wa Uhuru una Nini?
Mnajifanya wazalendo lkn mmetanguliza maslahi binafsi. Nani asiyejua mainjinia wa tanrosds wanahongwa mabilioni ili wachina wajenge barabara substandard??!!
 
Someni na somesheni Watoto. Uzalendo pekee hautoshi kwenye dunia ya kibepari.
 
Sijawahi kuelewa kwa nini serikali ilijenga viwanja viwili vyenye matumizi sawa sehemu moja.

Yani serikali nayo haitaki kutafuta maeneo mapya wanasema tutabanana hapa hapa
Kubanana ni jadi yetu; iko kwenye damu yetu. Ujenzi nyumba zetu wetu ni wa kubanana banana; utakuta nyumba ya kawaida tu lakini eti ina vyumba sita, kwanja ambavcho kilitakiwa kiwe na nyumba mija tu, mtu atajenga nyumba bili au tau. Kubanana ni jadi yetu kabisa.

Wakati wa ujenzi wa uwanja wa Mkapa, ilitakiwa uwekwe eneo tofauti kabisa ama kaskazini au magharibi mwa jiji. Kwa sasa vianja hivyo haviwezi kutumika kwa mahindano mawili tofauti; Ni ama uwe kwa Lupaso au uwe Shmba la Bibi, lakini vingetengansihwa maeneo ingesaidia mashindano mengine kufanyika katika kipindi kimoja
 
Hizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanza

Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.

Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Ninegtarajia uwanja ujengwe upya kabisa ile uwe wa kisasa kuliko kukarabati hiyo design ya kizamani.
 
Mimi ningekuwa na mamlaka nchi hii ningefanya yafuatayo:

1. Ningevirudisha serikalini viwanja vyote vya michezo vilivyochukuliwa na CCM

2. Ningeunda Taasisi ya kusimamia na kuboresha viwanja vyote vya michezo na vya wazi nchini. Viwanja vyote kuanzia vikubwa kama Mkapa, mashuleni hadi vya mitaani vinakuwa chini yake. Taasisi hii itakuwa inafanya kazi na Wizara za Michezo, Ardhi na TAMISEMI.

3. Mengine yanafuata baada ya hapo katika kuweka standard na kuzisimamia
Huyu huyu Mwana FA awaze hivi? Kiukweli hakuna maendeleo yoyote katika hivi viwanja kama vitaendelea kuwa chini ya CCM.

Wizara nyepesi sana hii basi tu huwa haina bahati pia.
 
Tutabanana hadi lini? nafasi zipo nyingi, za kutengeneza viwanja vikubwa vya maana kwenye majiji yote.
 
Gharama za kuendelea kukarabati huo Uwanja zitafika gharama walizotumia kujenga Mkapa toka nimeanza kusikia ukarabati ukarabati walikua wanaweza kujenge Uwanja sehemu ingine na ukawa wa kisasa vile vile ila nilichogundua huo Uwanja ni sehemu ya kuibia pesa maana ukarabati utaendelea kuwepo hata baada ya hizo hela kutolewa...
 
Back
Top Bottom