Bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ajiandaa kutoa ajira laki moja

ACHA UKABILA MBURURA WEWEEE,PALE KAMPUNI YA MO WALIO WENGI WANAFAIDIKA,HATA KAZI ZA KOROKORONI PALE MSHAHARA NI MILLIONI MBILI NA NUSU,NA SISI WAKURYA TUMEJAA PALE NA TUNANUFAIKA,PIA SASA HIVI KUNA NAFASI ZA KAZI YA UKOROKORONI 220,KAMA UNAHITAJI NENDA KESHO UKAANZE KAZI ACHA ULOFA.
yake ghare mura?
 
wewe usiwe kama mseng*e mzaha peleka kwenu
sasa we popoma hapo kuna ungese gani! kwa hiyo MO ni mkenya! au kazaliwa India!? asingekuwa,mtanzania angekuwaje mbunge?
unatumia makota kufikiri! punguza genye mshindo! plastic sugery wewe!
 
Watanzania tunahasira kwelikweli. Teh teh....nimepitia contributions za wadau humu very interesting. Binafsi niliona hii habari sehemu fuluni siku kadhaa zimepita. Ndiyo, Mo anaweza tengeneza idadi hiyo kubwa ya ajira direct or indirectly. Sasa kama zitakuwa ajira za kudumu au vinginevyo thats not for me to say. Watu hapa nimeona wanashindwa kuelewa jambo moja. Mfanyabiashara yeyote/company ipo kwaajili ya kupata faida si vinginevyo. Exploitation haitoisha kirahisi na kama wewe dream yako ni kuajiriwa miaka yote unapaswa ukubali ukweli mchungu utaishi kwa "imla" za boss wako. Period. Otherwise ajira iwe mapito au unafurahia ajira yako. Wanasiasa watasema vinginevyo ili wawe politically correct.....aisee it requires a revolution to make a permanent solution.
 
Basi nenda Concord Bar ukasimame pale nje saa za jioni mpaka asubuhi upate kazi ya utelezi.
Ewwwww! embu tangulia wewe kwanza. Kwa hiyo unataka watu wasitoe maoni yao eti kisa jamaa anatoa ajira. Kwani yeye ni wa kwanza tanzania hii kutoa ajira, kwa nini asiboreshe mazingira ya kazi hata kwa asilimia kidogo? Inaonekana wewe ni mmoja wa wale watu wanaowanyanyasa wafanyakazi wake eti kisa wewe ndio umewaajiri. Embu kwenda huko.
 
ACHA UKABILA MBURURA WEWEEE,PALE KAMPUNI YA MO WALIO WENGI WANAFAIDIKA,HATA KAZI ZA KOROKORONI PALE MSHAHARA NI MILLIONI MBILI NA NUSU,NA SISI WAKURYA TUMEJAA PALE NA TUNANUFAIKA,PIA SASA HIVI KUNA NAFASI ZA KAZI YA UKOROKORONI 220,KAMA UNAHITAJI NENDA KESHO UKAANZE KAZI ACHA ULOFA.

Sihitaji sana kubishana na wewe ila msome jamaa hapo juu anaitwa eddy love, ameshafanya kazi hapo kwa Mo kama supervisor na alikuwa akilipwa laki mbili kabla ya kodi tena mnapanga foleni wakati wa mshahara usipokuwa mbabe mhindi anakukata.

Ukinisoma vizuri utaona nimeweka angalizo, Serikali ikiziangalia vizuri hizi ajira kwa maana ya kusimamia watu wake basi zitasaidia watu wake ila hawa wahindi,waarabu na wachina wakiachiwa wenyewe basi hizi ajira huwa ni tatizo na chanzo cha umasikini kwa watu wengi.

Tuongee kwa kutumia busara bro na sio maneno ya ovyo maana wote tukitumia hayo maneno JF itakuwa haina maana na itafungwa.
 
Ewwwww! embu tangulia wewe kwanza. Kwa hiyo unataka watu wasitoe maoni yao eti kisa jamaa anatoa ajira. Kwani yeye ni wa kwanza tanzania hii kutoa ajira, kwa nini asiboreshe mazingira ya kazi hata kwa asilimia kidogo? Inaonekana wewe ni mmoja wa wale watu wanaowanyanyasa wafanyakazi wake eti kisa wewe ndio umewaajiri. Embu kwenda huko.
Mimi sina biashara ya kuweza kuajiri mtu,sababu mimi nauza karanga tamu hapa mbele ya jengo la I.P.S Dsm,halafu usiku nafanya kazi ya korokoroni Mohamed Enterprises pale Pugu Road,napata mshahara 2,5 million kila Mwezi,kwa hiyo nashangaa mnapoleta majungu hapa jukwaani wakati sio kweli,kama wewe unaweza kazi ya ulinzi uni PM nikufahamishe procedure ili nawe uondoe hasira zako.
 
Sihitaji sana kubishana na wewe ila msome jamaa hapo juu anaitwa eddy love, ameshafanya kazi hapo kwa Mo kama supervisor na alikuwa akilipwa laki mbili kabla ya kodi tena mnapanga foleni wakati wa mshahara usipokuwa mbabe mhindi anakukata.

Ukinisoma vizuri utaona nimeweka angalizo, Serikali ikiziangalia vizuri hizi ajira kwa maana ya kusimamia watu wake basi zitasaidia watu wake ila hawa wahindi,waarabu na wachina wakiachiwa wenyewe basi hizi ajira huwa ni tatizo na chanzo cha umasikini kwa watu wengi.

Tuongee kwa kutumia busara bro na sio maneno ya ovyo maana wote tukitumia hayo maneno JF itakuwa haina maana na itafungwa.
Mkuu kweli umeongea kwa busara na hekima,kwanza naomba samahani sababu umenifanya nijidharau,hata hivyo tusiwaamini watu wote humu,wengine wana chuki binafsi,sababu hakuna ukweli kwenye post za watu wengi humu.
 
Hili la vibarua linahitaji kujadiliwa ki-ueledi. Jiulize yafuatayo: Kama hela haitoshi mbona watu wanaenda kuomba kazi kila siku na wengine wanabaki mlangoni kubahatisha? Sikatai kuwa malipo hayatoshi lakini kiukweli anawezesha watu kusogeza siku badala ya kukaa vijiweni au kuomba omba kwa ndugu. Wengine wanachukulia kama ngazi ili watokee hapo kwenda kwenye kazi ya malipo makubwa zaidi. Mi naona tusibeze sana. Wengi mna wafanyakazi wa ndani, hebu sema ukweli mnawalipa vizuri?
Hili Bao baba yako angelimwaga nje tuu au mama yako angetoa hii mimba Kuliko kutuletea mzigo huu duniani.

Hivi Mfanyakazi wa ndani huwa anasafiri kuelekea wapi?

Analipa Umeme?

Analipa Bili ya Maji?

Analipa malipo ya Chumba/Nyumba?

Ananunua Chakula?

Usifananishe Kazi nyingine na Ma house girl waonaokula bata hata Kodi hawalipi............Mtu anaangalia TV tuu home unamfananisha na mtu anayeshinda kwa Mohamed kupokea sh.5000 kwa siku
 
ha ha ha hawa maponjoro hawa... wanyonyanji sana...

kufanya kazi kwa dewji ni bora ufuge kuku tu

mshahara mkubwa sana ni laki 3.. hapo huyo ndio manager..
 
S
Mimi sina biashara ya kuweza kuajiri mtu,sababu mimi nauza karanga tamu hapa mbele ya jengo la I.P.S Dsm,halafu usiku nafanya kazi ya korokoroni Mohamed Enterprises pale Pugu Road,napata mshahara 2,5 million kila Mwezi,kwa hiyo nashangaa mnapoleta majungu hapa jukwaani wakati sio kweli,kama wewe unaweza kazi ya ulinzi uni PM nikufahamishe procedure ili nawe uondoe hasira zako.
Sihitaji kubishana na wewe.kila la heri katika kazi yako.
 
Unajua haya mambo wakati mwingine ni shida sana, serikali inaweza kusema raia wake wamepewa Ajira na mwekezaji halafu mwishowe watu wake wanaishia kwenye umasikini na utumwa wa ndani. Serikali ikisimamia vizuri watu wake kwenye hizi ajira zinaweza kuwasaidia watu wake, lakini ikiwaachia hawa wahindi,waarabu na wachina waamue wakitakacho kwenye hizi ajira basi huwa ni janga kubwa sana na chanzo cha umasikini..

Nnaona ubaguzi tu umekujaa. Mpaka Rais anamtabua huyo kijana kuwa ndiye wa kwanza kwa kutoa ajira Tanzania hii, wewe unaleta Uhindi na Uarabu. Hivi haujui kuwa Tanzania kuna sheria za ajira na kuna vyama vya wafanyakazi vyenye nguvu?

Kama umeona hao wahindi na waarabu wanaenda kinyume na sheria ulichukua hatua gani ya kisheria? Au umeamua tu kupakaza ubaguzi wako kwa chuki tu binafsi zisizo na msingi?
 
Back
Top Bottom