Mbona wameishaambiwa wake wewekeze,,wanunue vichwa na mabehewa haragu watumie miundo mbinu1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.
2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
Tunaanzaga kwa mbwembwe huko mbeleni wote tutapoteana
Ova
Mimi nilidhani kuwa tayari; matukio mawili ndani ya wiki!1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.
2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule