Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,371
Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe.
Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake.
Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost kwenye muziki wake.
Nyinyi wenyewe ni mashahidi , Diamond akiachaga tu kujibizana na Ally Kiba, Ally Kiba huwa anapotea .
Miaka michache ya nyuma Diamond alipoamua kuwa kimya Kiba aliishiwa pumzi kabisa kila akitoa ngoma inabuma mwisho wa siku akapigwa gape kubwa sana na wasanii wengi mfano Mboso, Rayvan ,Harmonize, Marioo, Jux nk.
Diamond kwa huruma na moyo wa upendo alionao akaona ngoja amsaidie swahiba wake wa siku nyingi asije akapotea kabisa kwenye game.
Kama kumbukumbu zenu zipo vizuri nyimbo nyingi za Kiba zilizofanya vizuri ni zile ambazo alipewa msaada na Diamond mfano wimbo kama "MWANA" kipindi unatoka ulipata nguvu kupitia wimbo wa "KITORONDO" na nyimbo zake zingine za hovyo hovyo zilizofatia zilipata nguvu kwa kupitia mgongo wa Diamond.
Ukitaka kuamini Kiba si lolote Wala chochote , Diamond alipokuja na Wasafi Festival na kufanya vizuri Kiba akataka na yeye eti atembelee huo upepo na yeye aje na Festival yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kilichotokea nadhani wenyewe mnakijua, ile Festival ingekuwa na nguvu kama tu Diamond angeamua kumpa sapoti kinyume na hapo wenyewe mashahidi festival ya Kiba ilidoda vibaya sana
Sasa basi booster aliyopewa inatosha ,tunataka kumuona Kiba akisimama kwa miguu yake mwenyewe kama kweli anaweza bila kutegemea kupitia Diamond.
Mashabiki wa Kiba mfikishieni taarifa ndugu yenu autumie vizuri huu mwezi hatutaki lawama hii sapoti tunayompa asitegemee tutampa kila siku.