Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,820
31,847
BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE"

Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho.

Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na nikaifanya kazi ya uhariri na kumtafutia mchapaji wa kitabu.

Baadhi ya picha za Bibi Titi katika kitabu hicho ni hizo hapo chini picha ambazo kwa haraka na urahisi sana zinaeleza Bibi Titi alikuwa nani katika kupigania uhuru wa Tanganyika:

1701637381976.jpeg

1701637433298.jpeg

1701637472774.jpeg

1701637517090.jpeg
 
Back
Top Bottom