Lilylome
Member
- Jul 1, 2020
- 54
- 57
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze.
Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu,
Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri lain izo)
Je, ni faida kiasi gani naweza ingiza kwa mwezi endapo kwa siku nitafanya miamala isiyopungua 500,000 laki tano yaani sawa na 15M kwa mwezi?
Asanteni nasubiria miongozo yenu.
-------
Michango ya wadau

Swali lako hiyo miamala ya 500,000, kwa siku unaweza kupata mpaka laki 3 kwa mtandao mmoja au zaidi ila itategemea na aina ya miamala, miamala ya kutoa ina faida kuliko ya kuweka na kuna miamala mingine ya kuweka aina faida mfano unapomuwekea mtu au unapotuma pesa kwa namba ambayo aipo eneo lako, so ukifanikiwa kuzungusha miamala ya lak 5 kwa siku una uhakika wa kuingiza zaidi ya laki mbili kwa mwezi.
Yaani mwisho wa mwezi kwenye gawio lako uwa wanakata juu kwa juu kodi .
Tigo uwa hawasemi wamekukata sh.ngapi lakin wanakata ikitokea mfano wanalipa kesho ukaangalia leo commission yako ,then kesho yake wakalipa ukilinganisha na jana ulivoangalia utagundua malipo ya siku nzima hayapo ni wanapiga panga juu kwa juu (sjui kama na elewwka aisee).
Airtel :hawa mwanzo walikuwa wanakuonyesha sh.ngapi wamekukata mf;. Umepokea commission yako kiasi cha sh. 250,000. Kiasi cha kodi kilichokatwa ni 7,856,
Lakini siku izi hawaonyeshi wanakata juu kwa juu.
Voda: hawa wanakuonyesha kiasi kabla ya kukatwa kodi na baada ya kukatwa.
Halotel ; hawa hawakati .
NB;Izo kodi zinazokatwa mwisho wa mwezi ni 10% ya commission ya kila muhamala ulioufanya.
CONTROLA mkuu naomba uchangie kwenye mada hii kama hutojali.
Kwa maoni na ushauri zaidi kuhusu biashara hii soma: