tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
Ripoti niliyoiskia jana kwenye habari ni kwamba mchele wa shinyanga ni bora kuliko mchele wa mbeya.
Shinyanga na Tabora kuna mchele mzuri ingawa wengi wanaamini Mbeya zaidi.Ripoti niliyoiskia jana kwenye habari ni kwamba mchele wa shinyanga ni bora kuliko mchele wa mbeya.
Kizuri cha jiuza mkuuShinyanga na Tabora kuna mchele mzuri ingawa wengi wanaamini Mbeya zaidi.
Sasa hivi kuna mashine za Ku gred Mchele so habari za mawe Shinyanga hakuna ukifanyia greding unatoka vizuri sana sema msimu wa mwaka huu kanda ya ziwa yote haina mpunga kwa sababu kulikuwa hakuna mvua.easy mkuu.....shy na mor ,mor the best,shy una mawe balaa....PEACE
Sasa hivi kuna mashine za Ku gred Mchele so habari za mawe Shinyanga hakuna ukifanyia greding unatoka vizuri sana sema msimu wa mwaka huu kanda ya ziwa yote haina mpunga kwa sababu kulikuwa hakuna mvua.
Mbityaza nataman kufanya biashara y mazao sema cjui naanzia wapi..naomba ushaur wakonimeenda nikaona hatar sana
Mbityaza nataman kufanya biashara y mazao sema cjui naanzia wapi..naomba ushaur wako
Nami nahitaji kama utapata namba za wauzaji mpunga
Sent from my H1 using JamiiForums mobile app