X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,115
Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia siku moja tutakaa na watoa maamuzi wa Taifa na watatusikiliza kwa TUO.
Miezi kazaa nyuma niliazimia kwenda nje kwaajili ya KUTAFUTA kazi, Mungu sio ATHUMANI kwa jitihada za muda mrefu hatimae nilibahatika kukwea pipa
Nilitoka nyumbani nikiwa na nguvu mpya, Kasi na Hali mpya, punde tu baada ya kufika Dubai nilibahatika kupata kazi ila siku ipata hiyo kazi kama nilivyo tarajia.
Nilidhani nikisha fika tu UAE ningepata kazi kwa urahisi, lah hasha nilihangaika sana Hadi kufikia nusu ya kukata tamaa, hatimae nilifanikiwa kupata kazi.
Kichwani nilikuwa najua ningelipwa mamilioni ambayo kwa huko nyumbani ni pesa anaZo lipwa mtu mwenye cheo kikubwa mno sikujua kuwa pesa yao huku ni nyingi kwa kuitamka ila kwenye matumizi ni ndogo sana.
Huku nyama kilo 1 ni dirham 45 hivi ambayo ni sawa na elfu 35,000/= za kitanzania 😭 😭 😭
Nikiwa na miezi kadhaa kwenye ajira yangu hiyo huku UAE nikiwa siwezi kuweka hata senti 5 ya akiba huku nikiwa ugenini nimejiinamia kama yatima, nikayakumbuka maneno ya Mrisho Mpoto kwenye wimbo wake aliweka kibwagizo "BORA KUWA MBWA ULAYA KULIKO KUWA MLINZI MBAGALA"
muda huo nilitamani hata niwe MBWA mbagala maana ningekuwa karibu na ndugu zangu.
Ndugu zangu mnao enda kutafuta kazi ughaibuni Nina waomba msivuke mipaka ya nchi yetu nzuri kwa lengo la kwenda kutafuta kazi bari mkifanikiwa kwenda nchi yoyote njoeni kutafuta fursa na tuzirudishe fursa nyumbani.
Nchi za wenzetu unaweza kwenda kufanyakazi kwa minajiri ya kujifunza kile unacho kifanyia kazi mkata ukiisha turudi nyumbani tukiwa na mipango ya kuifanyia kazi Ile fursa kwa hapa hapa bongo.
Nchi za wenzetu Kuna fursa Pana sana ya kibiashara na Kuna bidhaa nyingi mno ambazo zinahitajika sana hapa nyumbani na Zina patikana kwa wingi huko ughaibuni. Kuliko kwenda kutafuta kazi huko ni Bora ukaenda kutafuta fursa za kibiashara.
Kwa huko kwetu hakuna bidhaa utakayo ipeleka njee labda DHAHABU au madini kwa ujumla, na vyakula.
Hizo biashara 2 ukifanikiwa utaikataa ajira.
Nimeona niwape hii zawadi kwani swala la AJIRA ni ugonjwa unao isumbua Dunia nzima. Na ajira ni utumwa kama utumwa mwingine ila biashara ukiipatia unakuwa huru una nunua bidhaa na bei unapanga mwenyewe.
Lakini ajira ni tofauti unasoma kwa gharama zako harafu mshahala wanakupangia. Na mshahala ni kama kilevi kumbuka una pewa kiduchu ili usahau shida kwa muda mfupi. Uone bila hiyo kazi maisha Yako SI lolote SI chochote.
Ajira ughaibuni zipo ila huwezi kutajirikia kwenye ajira labda uwe fisadi au mwizi..!
Mnao taka kuja Dubai kibiashara au kutafuta kazi msisite kuwasiliana nami Whatsapp +255759170794